Naomba kujua wapi wanasajili majarida ya matangazo

Naomba kujua wapi wanasajili majarida ya matangazo

Afyayaakili

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2012
Posts
936
Reaction score
1,303
Naomba mwenye kujua wapi wanasajilia majarida ya matangazo kama Advertizing Dar,Buy&Sel, City Advert ambayo wanayagawa bure lengo likiwa ni kutangaza biashara kwenye hayo majarida.

Wenye ujuzi nataka kupata ISSN number kwa ajili ya hilo jarida.
 
Nenda idara ya Habari maelezo kamuone Dr.Abass ndiye alitoa tangazo la kusajiri vijarida,magazeti na vipeperushi. Bila shaka yeye ndiye anasajili.
 
Back
Top Bottom