Felice1
Senior Member
- Nov 11, 2016
- 106
- 142
Mimi ni mwanaume wa miaka 29. Kinachonisimbua mimi sio muongeaji, hasa nikiwa mbele ya watu. Huwa naumia ninapoona watu kama makondakta wa gari za mjini huku waongeaji kiasi cha kumshawishi mtu hadi acheke.
Licha ya kusoma mpaka chuo, huwa sina mazungumzo ya ziada. Huwa naongea pale ibidipo niongee. Hii hali inanisababisha nafanya kazi nyingi hadi muda wa ziada.
Naomba ushauri, zipo njia ambazo naweza kutumia ili kuongeza kiwango cha kuongea?