The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Mzuqa,
Yani upepo umembadilikia ghafla. Mancity hata ikikutana na man united itanyukwa tu. Naona Tottenham inajtahidi. Liverpool ni bingwa tayari. Pogba leo kacheza kwa kujiamini sana. Chelsea naimbea ishinde kwasababu tu ya kante.
Erythrocyte chaliifrancisco