Emmanuel Okwi eti ana miaka 25?

Emmanuel Okwi eti ana miaka 25?

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,727
Reaction score
13,466
Nimeingia wikipedia leo wanasema okwi jana katimiza miaka 25 eti alizaliwa mwaka 1992 December 25, pia kumbukeni kuwa wikipedia huwa hawaandiki kwa kukurupuka pasipo kuwa na vyanzo vya Details zako, huwa wanaandika kutokana na wewe mwenyewe utakavyojielezea au kujitambulisha.

Screenshot_20181226-135738.jpeg

Kama Okwi ana miaka 25 sasa hivi basi mimi ntakuwa mtoto mchanga,
 
Athubutu hawezi kufanana umri na Mimi sura limekomaaa kabisa lile linanizaa
 
Unashangaa ya Mousa, na ni vipi ya Firauni.,,??? Si utafariki kama siyo kuzimia.
 
Mwaka 2011 Kaizer Chiefs waliibip SIMBA kutaka kumsajili OKWI! Kama hii figure iko sahihi, inaaana SIMBA waliuziwa OKWI akiwa U18!
 
itakua +10, wikipedia ukiweka ushahidi hawana kipingamizi, hivyo ni simple tu kwa okwi kuchonga cheti cha kuzaliwa cha mwaka 1992.
 
Nimeingia wikipedia leo wanasema okwi jana katimiza miaka 25 eti alizaliwa mwaka 1992 December 25, pia kumbukeni kuwa wikipedia huwa hawaandiki kwa kukurupuka pasipo kuwa na vyanzo vya Details zako, huwa wanaandika kutokana na wewe mwenyewe utakavyojielezea au kujitambulisha.

View attachment 977886

Kama Okwi ana miaka 25 sasa hivi basi mimi ntakuwa mtoto mchanga,
Emmanuel Okwi was born in 1987
 
HIYO NI MIAKA YA KWENYE MPIRA KIONGOZI
 
Back
Top Bottom