UMOJA switch ATMs ni KEROO...!!!

mathematics

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
3,331
2,000
Kama una akaunti bank ambayo inatumia ATMs za UMOJA switch usizitegemee kabisaaa ATMs za UMOJA switch kwani zinaweza kukuangusha ukaonekana mswahili, ukaonekana ni muongo, ukakosa dili kama lilikuwa linahitaji pesa ya haraka, ukabaki unaduwaa ukakosa pesa ya kutumia kwa muda huo!! Bora ningeweka pesa zangu chumbani au nikaweka kwenye benki za ATMs nyingine kama NMB au CRDB manake kote huko nina akaunti...!! NIMEJUUUUUTA
 
Masulupwete

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
2,241

NI KWELI UMOJA ATMs NI VERY UNRELIABLE HASA KWA SIKU ZA JUMAMOSI NA JUMAPILI ZILIZO NYINGI HASA ZILIZO KWENYE MAENEO BUSY UWEZEKANO WA KUTOKA KAPA NI 100%.JINGINE USIOMBE KADI YAKO IKAMEZWA KWENYE ATM YA BENKI TOFAUTI PROCESS YA KUIPATA NI NDEFU.
 
YouTube

JF-Expert Member
Jul 24, 2012
941
500

cc Uswe
 
Last edited by a moderator:

daviey69

JF-Expert Member
Aug 12, 2013
2,237
1,225
NI KWELI UMOJA ATMs NI VERY UNRELIABLE HASA KWA SIKU ZA JUMAMOSI NA JUMAPILI ZILIZO NYINGI HASA ZILIZO KWENYE MAENEO BUSY UWEZEKANO WA KUTOKA KAPA NI 100%.JINGINE USIOMBE KADI YAKO IKAMEZWA KWENYE ATM YA BENKI TOFAUTI PROCESS YA KUIPATA NI NDEFU.
kuhusu kumezwa ni uongo we nenda na kitambulisho chako kwenye branch inayohusika na ATM hiyo na utapewa Card tatizo huna information unapotosha watu!
halafu acheni kulala umepewa tena option ya kudraw kwa kutumia simu bado tena ushindwe kuaccess hela zako?
 
mathematics

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
3,331
2,000
kuhusu kumezwa ni uongo we nenda na kitambulisho chako kwenye branch inayohusika na ATM hiyo na utapewa Card tatizo huna information unapotosha watu!
halafu acheni kulala umepewa tena option ya kudraw kwa kutumia simu bado tena ushindwe kuaccess hela zako?

mkuu akili zako sijui zinafikiri vipi ni kuona tunaolalamika ni wajinga, kama network kwenye atms zimezingua unafikiri unaweza toa pesa kwa mpesa??? hapa nilipo nina laki na nusu nilitoa kwa mpesa hazijatoka na balance wamekata! hawa Umoja switch ni majanga majanga!!
 
sasa umoja Swith na Vodacom Mpesa wapi na wapi?
 
mathematics

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
3,331
2,000
kuhusu kumezwa ni uongo we nenda na kitambulisho chako kwenye branch inayohusika na ATM hiyo na utapewa Card tatizo huna information unapotosha watu!
halafu acheni kulala umepewa tena option ya kudraw kwa kutumia simu bado tena ushindwe kuaccess hela zako?

sasa umoja Swith na Vodacom Mpesa wapi na wapi?

mkuu uliposema kudraw kutumia simu ulikuwa unamaanisha nini, kama vitu huvielewi kaa kimya.
 
mathematics

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
3,331
2,000
Wachana na umoja switch... kuja kwenye VISA kadi!!!
huko kwenye visa card/ master card nipo sababu nina kaunti crdb, si unajua unapokuwa unabembeleza mkopo kwa hizi benk ndogo inabidi uweke pesa kwao mfululizo kwa angalau kwa miezi miwili. Ndio hivyo tena balansi ya crdb nikaisomesha zero, kumbe ningebakisha vijisent kidogo kwa ajaili ya back up.
 
daviey69

JF-Expert Member
Aug 12, 2013
2,237
1,225
mkuu uliposema kudraw kutumia simu ulikuwa unamaanisha nini, kama vitu huvielewi kaa kimya.
nilimaanisha akili yako umeweka kwenye droo maana umeelewa sema tu huhitaji msaada!

My take is call au tembelea tawi lako then toa tarifaa ya pesa zako ambazo hazijaiingia kwenye account yako ya Mpesa ilihali kwenye account yako ya bank imetoka! wao wanaweza kuwasiliana na service provider wako(voda) na ukapata hela yako haraka.
 
mathematics

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
3,331
2,000
nilimaanisha akili yako umeweka kwenye droo maana umeelewa sema tu huhitaji msaada!

My take is call au tembelea tawi lako then toa tarifaa ya pesa zako ambazo hazijaiingia kwenye account yako ya Mpesa ilihali kwenye account yako ya bank imetoka! wao wanaweza kuwasiliana na service provider wako(voda) na ukapata hela yako haraka.

watu wengine humu jf mnatia kichefu-chefu, tatizo ni kujifanya unajua saana kumbe hujui kitu. card less/ kutoa kwa simu yote haya nayajua, tatizo ni network za Umoja Switch ni mbovu . sasa ni msaada gani unaotaka kunipa???!! Hata la kutoa taarifa unafikiri silijui?! service provider wangu sio voda, ukiwa na pesa kwenye bank unaweza kutuma kwa simu hata kwa laini isiyo ya voda, ila utaitoa kwa huduma ya mpesa.
 
Masulupwete

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
2,241
2,000
kuhusu kumezwa ni uongo we nenda na kitambulisho chako kwenye branch inayohusika na ATM hiyo na utapewa Card tatizo huna information unapotosha watu!
halafu acheni kulala umepewa tena option ya kudraw kwa kutumia simu bado tena ushindwe kuaccess hela zako?

Bila shaka huyu atakuwa mtoto anachezea simu ya babake...
 
daviey69

JF-Expert Member
Aug 12, 2013
2,237
1,225
watu wengine humu jf mnatia kichefu-chefu, tatizo ni kujifanya unajua saana kumbe hujui kitu. card less/ kutoa kwa simu yote haya nayajua, tatizo ni network za Umoja Switch ni mbovu . sasa ni msaada gani unaotaka kunipa???!! Hata la kutoa taarifa unafikiri silijui?! service provider wangu sio voda, ukiwa na pesa kwenye bank unaweza kutuma kwa simu hata kwa laini isiyo ya voda, ila utaitoa kwa huduma ya mpesa.
kweli we ni HKL
 
CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,110
2,000
Usifanye hivyo charminglady, UmojaSwitch iko vizuri sana sasa hivi, uptime ni zaidi ya 99%, usipopata pesa katika ATM yeyote ya umoja piga simu iliyopo katika ATM au 0787-730813 yangu

We sema una nia ya lkunipa namba yako tu... Haya yangu hii hapa.... 0714197700
 
Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,205
2,000
We sema una nia ya lkunipa namba yako tu... Haya yangu hii hapa.... 0714197700

hahaaaaa ushanigeuzia kibao charming lady, toka april 2012, mimi ninasimamia operations za umojaswitch, kwa hiyo nikivoona uko na issue na ATM zetu nikaona nikujuze namna ya kutufikia inapohitajika, toka nimeanza kusimamia hizi operations mambo yamebadilika sana, ingawa ninakiri kazi bado inabidi iendelee kufanywa
 
Boniphace Bembele Ng'wita

Verified Member
Dec 25, 2013
2,924
2,000
Ki ukwel sijawahi ona watu wanaoboa kama hao jamaa wa umoja switch! Nmepoteza hela kama laki hv nmefuatilia kila nkienda huku naambiwa jaza hki mwisho nmeiacha nkafunga na account! Maana wanaboa haswa mnakazi mnaotumia, polen hamien huku kwetu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom