Daraja Busisi - Kigongo: TANROAD watangaza zabuni

Daraja Busisi - Kigongo: TANROAD watangaza zabuni

VAPS

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
5,611
Reaction score
13,175
Hii ni habari njema kwa wakazi kanda ya ziwa na magharibi.
Daraja urefu 3.2Km, na Barabara 1.66 Km
Hongera JPM na wote Kwa hatua hii.
 
Japokuwa hakika sina lakini nadhani ndilo litakuwa lenye urefu ongozi kwa madaraja yaliyopo kwa sasa hapa Tanzania.
 
Sawa, asante kwa taarifa.
Kakudanganya bwana, maana tenda ndio kwanza imetangazwa!!!
IMG_20181226_135050.jpeg
 
Back
Top Bottom