josephwaara JF-Expert Member Joined Jun 18, 2016 Posts 304 Reaction score 641 Dec 26, 2018 #1 Habari? Naomba kufahamishwa maana rahisi ya QR code. Naona imetrend kweli naskia tu kuscan qr code ila bado siipati vizuri.
Habari? Naomba kufahamishwa maana rahisi ya QR code. Naona imetrend kweli naskia tu kuscan qr code ila bado siipati vizuri.