Jambo ambalo linatakiwa likukae kichwani mwako ni kwamba , duniani hatujaja kwa bahati mbaya, tumekuja kula bata

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,317
2,000
Salamu nyote. Poleni na mawazo ya December plus January!

Straight kwenye mada tajwa hapo juu.

Hapa duniani hatujaja kupata msoto , na hatujaja kwa bahati mbaya. Tumekuja kwa reasons. Mungu hajatuumba kimakosa.

Tupo hapa kwa ajili ya kuenjoy maisha maana ni ya mpito tu. Haya maisha tunamea na kunyauka kama maua.

Tumekuja kumenya bata full time na si kupata msoto wala mateso yanayosababishwa na binadamu wenzetu ,ama kwa utashi wao ,ama kwa usolid wao.

Kama mtu anafikiri tumekuja duniani ili tupate msoto, hiyo yeye tu. Ale msoto mwenyewe na asilete madhara kwa watu wengine.

Narudia tena.

Hapa duniani Mungu katuumba ili tufurahi , tule bata maana baadae tutanyauka paaaapu kama nyasi.

Tule bata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
31,949
2,000
Hahahahahha naamini umesaidiwa na akili za mimea na vimiminika😂😂..umeongea kweli tumekuja kwa kusudi..sio kwa bahat mbaya...!we live once
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom