Benki yenyewe haipo, hiyo akaunti itakuwapo kweli?Ilikuwa mwaka gani? Na sasa je ni vipi? Account imefikia wapi?
Ulikuwa Ta nini, maana jengo la THB ni la TRA kwa sasa.Mimi mwaka 1987 dingi alinifungulia account, nikiwa na miaka kama 11 hivi, nilikuwa naweka weka vipesa hapo baada ya kuwa nauza malimao, mwisho wa siku nikashangaa benki haipo bali jengo hilo sasa ivi ni TRA.
Biashara ya benki ni kukopesha. Tatizo wezi.Wakubwa wengi walikopa huko. Wanaona bora waiue kimya kimya maana orodha ingetoka, ingekuwa aibu. Tusiowadhania walikuwemo kama wadaiwa sugu.