Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Inakuwaje wasimamizi wa mambo ya mitandao website yenu inakuwa haipo update kiwango hicho huku kukiwa na makosa mengi? Hili linanifanya niwe na shaka na ufanisi wao Kuna makampuni yalishajifia...
0 Reactions
3 Replies
936 Views
Taarifa zilizopo ni kwamba kuna kila dadlili za dayosisi ya Mashariki na Pwani kumshinda Dr Alex Malasusa. 1. Dayosisi imejaa madeni na kuna wakati watumishi wanashindwa kulipwa mishahara yao 2...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Wakuu,katika maisha yangu nilishajiwekea nadhili(kiapo), kuwa kamwe sitokuja kuchangia harusi wala kutoa sadaka kanisani(mimi ni mkristo). Mwanzoni nilikutana na vigingi,vikwazo na vitisho...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni matukio gani hayo????
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tukio hili limetokea tarehe 20/12/2018 majira ya 19:30hrs ambapo Jeshi la Polisi lilipata taarifa kuwa huko maeneo ya Mtaa wa Lumaliza kata ya Mbugani Manispaa ya Tabora. Kijana mmoja aitwaye...
1 Reactions
29 Replies
50K Views
Wakuu nina wasalimu, kwa Hakika majaribu ni mengi na mambo ambayo tunapitia ni mengi sana ambayo kimsingi ni vigumu sana kuweza kufanya vizuri kama huwezi kujipamba na vazi la Subira maana...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Akizungumza na waandishi hivi karibuni CEO wa shirika la ndege la green africa ndugu Babawande amethibitisha shirika hilo limeagiza ndege 100 aina ya boeing 737 max 8 katika juhudi za kulijengea...
0 Reactions
70 Replies
11K Views
Haya mabasi yanaboa sana toka kuanza kwa sikukuu imekua kero kwa wasafiri wa haya mabasi vituo vimejaa mabasi machache likija mnaminyana mpaka unaisi kupoteza maisha.lingine hivi kama mtu anaumwa...
5 Reactions
41 Replies
4K Views
Kwa ujenzi wa njia nane ulio anza leo ni wazi kabisa KIBAHA imeunganiswa na DSM kiasi kwamba baada ya kukamilika kwa ujenzi huo huwezi kutofautisha kati ya Dar na kibaha, ikumbukwe pia kibaha ni...
7 Reactions
92 Replies
15K Views
Nadhani ubabe anaoufanya unamaana na alishauriwa hivyo kwa mazingira ya sasa imagine uhuru wa maoni na maandamano aliotuachia JK ungeachwa uendelee mikutano ya siasa isingepigwa ban pengine kila...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Bwana mmoja raia wa Ufaransa ameanza safari ya kuvuka bahari ya pili kwa ukubwa duniani, Atlantiki, kwa kutumia pipa kubwa aliloliunda mwenyewe. Jean-Jacques Savin, mwenye miaka 71, ameanzia...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Toka saa 7.00 usiku sehemu kubwa ya Kinondoni kama sio Jiji zima la Dar halina umeme.Hatujui tatizo ni nn? Mamlaka husika tuambieni kuna nn kimetokea?Tupo kwenye joto kali hakulaliki Sent using...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
watu wenye uwezo wa kumfikishia hii taarifa basi wamuambie aisee sasahivi kuna abiria wengi sana wa nyamisati mafia.mfano jana wamepanda 150 na wengine 70 wakakosa usafiri kwa nini asianzishe...
9 Reactions
64 Replies
9K Views
wakuu habarini za muda huu naombeni kwa anayejua namba za mawakala Wa SONY SERVICE CENTER ninashida nao ambao wapo hapa dare salaam TV yangu imezingua imezima ghafla naogopa kupeleka TV yangu kwa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Zura Karuhimbi hakuwa na silaha yeyote ya kujilinda wakati wanaume waliokuwa na silaha walipoizunguka nyumba yake na kumtaka awakabidhi watu aliokuwa amewahifadhi nyumbani mwake. Mwanamke huyo...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Wasalamu wakuu Leo nipo maeneo ya Mwanza Mwanza alimarufu Rock city au ukipenda security city Lengo langu nikuanza mwaka mpya nikifurahia jiji hili la Mwanza kwa wenyeji tupeni vituo na mahala...
1 Reactions
29 Replies
6K Views
Sijui kwanini wanapenda kudanganya wakati wenzao wakitoa takwimu wanakuwa wakali hata kuwaweka ndani. Mhariri wa gazeti la Uhuru la leo ameandika ukiwa na 10elfu na ukiwa unaishi Tandika...
6 Reactions
79 Replies
7K Views
Jamani leo ndio mara yangu ya kwanza kufika kanda ya mashariki hususani jiji la deselaamu. Kwa kweli kwa joto hili, mavumbi haya, hewa chafu hii, msongamano wa viumbe, msongamano wa minyumba na...
5 Reactions
58 Replies
7K Views
Hivi hapa Watanzania wakiwahisi vinginevyo mtawaona wabaya? au tukihisi kuwa pengine Bwana Mkubwa kwakuwa ni Msukuma hivyo labda maamuzi yake alianza Kwanza kuwapa Nduguze Wasukuma huko Mwanza...
8 Reactions
28 Replies
4K Views
Naomba kujuzwa juu ya uaminifu wa kampuni ya uuzaji wa magari Realmotor Japan. Website yake ni www.realmotor.jp lakini unapoifungua website yake kuna neno linalosomeka Not secure. Je kuna...
0 Reactions
4 Replies
943 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…