Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,327
- 24,194
Nipo barabara ya Msata Bagamoyo, na magari yote yamesimamishwa.
Kisa?
Kuna mheshimiwa kabisa atapita barabara hii, na inaelekea wananchi wa 3rd Class nchi hii tumpishe ili awe peke yake barabarani.
Hii inakera sana.
Mi ndo natoka Bariadi toka asubuhi saa 11, na nina watoto garini na mmoja ana matatizo ya kiafya.