AstaghafilullahPapa ndio nini ww mbele ya mpambanaji trump?
Trump mtambo inainyoosha marekaniTrump anawaumiza kichwa sana lakini ndiyo kipenzi cha wamarekani kwa hiyo tulieni
Gud; kumbe na ww ushaona! Wameedit alafu ata uwezo wa kuedit mdogo sanaAngalia mkono wa trump kabla hajamshika mkono hakuna mkono washat unaoonekana ,,,, alafu njoo kwenye kipande kinachoonyesha trump anamshika mkono utaona mkono wa shati unaonekana kua mrefu zaidi ya mkono wasuti .....
Kwaufupi nivedeo mbili zilizounganishwa pamoja.
Angalieni hii hapa