Papa Francis ataka sala ya "Baba yetu" ifanyiwe marekebisho.

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
4,775
2,000
Habari zenu wanajukwaa.

Kwa mujibu wa BBC ni kuwa kiongozi wa kanisa katoliki duniani, Papa Francis ametaka sala ya Baba yetu ifanyiwe marekebisho. Lile neno "Usitutie ktk vishawishi" anasema Mungu hatii watu ktk vishawishi ila watu hutafuta au hufuata vishawishi wenyewe.
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
54,688
2,000
Ufunuo wa Yohana 22:19

Na MTU ye yote akiondoa lo lote katika maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mungu atamwondolea sehemu yake katika ule mti wa uzima, Na katika ule mji mtakatifu, ambao habari zake zimeandikwa katika kitabu hiki.
 
Bandiwe

JF-Expert Member
Oct 19, 2013
9,546
2,000
Habari zenu wanajukwaa.

Kwa mujibu wa BBC ni kuwa kiongozi wa kanisa katoliki duniani, Papa Francis ametaka sala ya Baba yetu ifanyiwe marekebisho. Lile neno "Usitutie ktk vishawishi" anasema Mungu hatii watu ktk vishawishi ila watu hutafuta au hufuata vishawishi wenyewe.
Mwambie akopi yakwetu imekamilika, ipo hivyo hivyo kwa mitume wote.
 
Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
11,539
2,000
Aache ubeege wake. Hicho anachotaka kukubadirusha kipo sawa kabisa, aende skasome Mwanzo 22:1-12. Hapo ndiyo asili ya hicho anachotaka kukibadirish na kwamba ni kweli Mungu hutuweka majaribuni.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom