UNAFIKI WA RC MAKONDA,MACHOZI YA MAMBA

UNAFIKI WA RC MAKONDA,MACHOZI YA MAMBA

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,787
MSIKIE HAPO ALIVYOTISHIA KUWACHAPA VIBOKO WALIODAI ONGEZEKO LA MSHAHARA MEI MOSI NA HUKU INSTAGRAM AKIJIFANYA KUMFAGILIA JPM KWA KUWAJALI WAFANYAKAZI
**MODS NAOMBA MNILINDE*MSIFUTE

Capture.PNG
 
Kwanini unamlilia Mods kwa makosa yako?, Makonda anawajali watumishi wa umma hasa walimu 1. Kawapatia vitambulisho vya kusafiri bure 2. Amewajengea ofisi, 3. Kero zao zinatatuliwa kwa wakati. Usimchonganishe kwa chuki zako binafsi

View attachment 980545
 
Lazima amuone kama yesu, we jitu umefoji kila kitu kuanzia jina hadi elimu lakini hadi leo bado unasukuma vx v8, si mchezo
 
Kwanini unamlilia Mods kwa makosa yako?, Makonda anawajali watumishi wa umma hasa walimu 1. Kawapatia vitambulisho vya kusafiri bure 2. Amewajengea ofisi, 3. Kero zao zinatatuliwa kwa wakati. Usimchonganishe kwa chuki zako binafsi
MAKOSA GANI?KUNA MODS HAWAELEWEKI HAPA.ISIFUTWE TUJIKUMBUSHE MACHOZI YA MAMBA ANAKUUA HUKU ANALIA
 
Kwanini unamlilia Mods kwa makosa yako?, Makonda anawajali watumishi wa umma hasa walimu 1. Kawapatia vitambulisho vya kusafiri bure 2. Amewajengea ofisi, 3. Kero zao zinatatuliwa kwa wakati. Usimchonganishe kwa chuki zako binafsi
Wale waleee, wachumia matumbo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bashite lazima amuite YESU kwani muda si mefu anaweza kufyatuliwa nyonga..yajayo yanafurahisha
 
nilihisi kuna tatizo sababu insta huwa hamalizii kwa kuandika by paul makonda,kila mtu anajua hiyo baba keegan ni account yake,alitaka ionekane na mhusika au?
 
Back
Top Bottom