Unaanzaje kunusa vikwapa kwenye mwendokasi na daladala? pata NISSAN MARCH kwa 1,6 m gari iko poa

TBO

Senior Member
Jan 3, 2014
194
87
Gari haina shida yeyote ni kuweka mafuta na kuyeya .jipatie ndinga la kwako uepukane na daladala kwa bei ya kutupa 1.6m tena kwa uhakika uje na fundi wako0789630368
 
Attachments

  • 49304707_233316994249518_8466809321416556544_n.jpg
    49304707_233316994249518_8466809321416556544_n.jpg
    41.4 KB · Views: 31
  • 49304707_233316994249518_8466809321416556544_n.jpg
    49304707_233316994249518_8466809321416556544_n.jpg
    41.4 KB · Views: 35
  • 49289653_233316904249527_4170718470561857536_n.jpg
    49289653_233316904249527_4170718470561857536_n.jpg
    36 KB · Views: 30
Gari haina shida yeyote ni kuweka mafuta na kuyeya .jipatie ndinga la kwako uepukane na daladala kwa bei ya kutupa 1.6m tena kwa uhakika uje na fundi wako0789630368
Ahh mkuu gari yako ni bei nafuu sana na kama halina tatizo kwa nini uuze kwa bei ya kutupa
 
Bei kuwa nafuu haina maana kama gari ni kimeo na ndio maana nimesema mtu aje na fundi wake kuk\gua mimi nauza ili niongezee hela ninunue gari lengine kama huna gari na unalipuuza hili inakuwa imekula kwako
 
Back
Top Bottom