Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,549
- 101,681
Ikulu ndogo ya wilayani Mbinga mkoani Songea,imevamiwa na watu WASIOFAHAMIKA ambao waliiba KUKU waliokuwa bandani.
Wizi huo umetokea baada ya wezi hao kutoboa UKUTA wa banda hilo mbali ya kuwa na ULINZI wa KUTOSHA.
source:Gazeti la Majira...Na 7212....tarehe 4 oct 2013....