Abiria waliokata Tiketi FastJet waendelea kupigwa danadana Shirika.

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,206
12,907
Wateja walionunua tiketi wamelalamikia kucheleweshewa malipo yao, baadhi yao wameenda katika ofisi za shirika hilo karibu mara nne kufuatilia lakini hawajalipwa.
Screenshot (6).png
 
Wateja walionunua tiketi wamelalamikia kucheleweshewa malipo yao, baadhi yao wameenda katika ofisi za shirika hilo karibu mara nne kufuatilia lakini hawajalipwa.

mamlaka husika ziwasaidie kwenye hili suala.
 
Back
Top Bottom