Huna akili hata moja wewe... Ndio umeandika utumbo gani huu?Utasikia mabeberu, mabeberu! Wanaoogopa ni ng'ombe!! Si heri wangemgwaya Punda hoja yao ingekuwa na mashiko.!!!
Ni ngumu kumuelewa ukikurupuka mkuu, tulia utafakari na ukishindwa sio lazima kucoment