Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mzuqa Unashinda njaa ama kula kidogo kila siku etiupendeze. Upendeze kivipi nyinyi? Mnatukera na tabia zenu mbofumbofu ambazo mnataka hata mabinti zetu wazifuate. Hollyhood fakin mentality kuwa...
2 Reactions
74 Replies
9K Views
Nyakati na Technology zimeharibu mambo mengi sana Tanzania.Wanawake wenye akili wasio na elimu walizaa na kulea ma Professors . Nyakati hizi wanawake wasomi wanashindwa kuzalisha vizazi bora vya...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Mapigano ya Lepanto yalifanyika baharini tarehe 7 Oktoba 1571 kati ya Wakristo na Waislamu, meli zao zilipokutana katika Ghuba ya Patras (karibu na Ugiriki). Lepanto ni jina la bandari...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
UKWELI ULIVYO UKITAKA KUMDANGANYA MWAFRIKA, MDANGANYE MSOMI Na Victor Makinda- Imechapishwa kwenye Gazeti la RAI (Oktoba 26- November 1, 2017) Afrika ni bara la giza. Sio giza lenye maana ya...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu waungwana,Yapata wiki ya pili sasa kuna hali hali fulani imenitokea,katika sehemu ya siri yaani uume kusinyaa sana hali ambayo nakosa hisia katika eneo hilo la Uume,Ilefikia hatua hata...
0 Reactions
2 Replies
886 Views
Habari wanaJF Taarifa zilizonifikia hivi punde ni kuwa nyumba ya kulala wageni iliyopo jijini Mbeya Uyole inayoitwa Chakodi Geust House iliyopo karibu na stendi ya mabasi ya Tukuyu inateketea Kwa...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jafo ameonyeshwa kufadhaishwa kwa kukosekana kwa afisa wa TRA katika Kituo cha Kibiashara cha Pamoja ambacho lengo lake...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mara ya mwisho tulionana shinyanga kama sikosei ni 2010-11. Kabla ya hapo tulikutana arusha kwa mara ya kwanza ukiwa unafanya kazi kampuni ya Dar Express. Ni dada half cast. Mrembo mwenye...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Nakutafuta sana wewe bint kama kumbukumbu zangu zipo vizuri unaitwa sharrifa. Tulionana mwaka 2004 nlipokuja arusha mang'ola mimi na watu wengine kadhaa. Tulikuwa tumepiga kambi na mara kadhaa...
2 Reactions
58 Replies
4K Views
Hapa nawaza kwa vikundi kama vicoba ambavyo vinachangishana hela kidogo na kukopeshana itakuwaje? Maana maagizo ya BOT yamesimama wima! Karibuni wajuvi wa mambo ya finance mtutoe tongotongo...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Ajali imetokea Bunju B na kuua watu watatu papo hapo ambao ni madereva wa bodaboda na VX kuchomwa moto. Dereva wa VX katoka mzima ila gari lake limechomwa moto na wananchi. Maiti zimepelekwa...
4 Reactions
128 Replies
38K Views
Habarini wanaJF ,natafuta shule nzur kwa ajili ya mwanangu wa miaka mitatu nipo maeneo ya kona kimara .
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Capetown complex Dodoma mnapashwa kunyanganywa lesseni ya biashara kwa kitendo cha kufuata matakwa ya mahitaji ya lesseni. Kuruhusu na kuendelea kuwaruhusu watoto wa umri wa Chini ya umri wa mwaka...
1 Reactions
72 Replies
6K Views
Mtu huyu amepoteza nyaraka muhimu na zimeokotwa na raia mwema. Kama kuna anayemfahamu, amwambie awasiliane nami. Anaweza kutuma email kwa uongozi wa JF ili wanitafute (support @ jamiiforums. com )
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuanzi mwezi huu TANESCO imefuta ulipiaji LUKU kwa tariff zero. Watumiaji wote waliokuwa wanalipia umeme kwa tariff zero sasa wamehamishiwa tarrif one. Ambapo kwa sasa watumiaji hao watapata...
3 Reactions
100 Replies
18K Views
Majaliwa alieleza hayo alipokuwa akikagua barabara hiyo jana ambayo itagharimu Sh. bilioni 129.3 hadi itakapokamilika kwake, akiwa njiani kwenda wilayani Mbinga ikiwa sehemu ya ziara yake ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mufindi Ni hali isiyo kuwa ya kawaida kwa binadamu kufika umri mrefu akiwa hai, lakini leo linathibitika kwa mara nyingine Nchini Tanzania katika kitongoji cha Ing’enyango nje kidogo ya kijiji...
1 Reactions
35 Replies
8K Views
Nimeamka mapema leo, na kabla ya kutoka kitandani, nikawa nawaza watu mbali mbali hapa duniani wanaopitia masaibu tofauti tofauti. 1. Wazazi waliokuwa wanategemea kumzaa mtoto mzima lakini baada...
0 Reactions
3 Replies
889 Views
Nimesoma maandiko mengi yanayojadli swala la ukosefu wa ajira kwa vijana. Kuna watu wanajalibu kuitenga serikali na tatizo hili la ajira kwa vijana. Wapo wanaowambia vijana kuwa wajiajili...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amepiga marufuku tabia ya baadhi ya askari Polisi nchini kukamata waendesha pikipiki (bodaboda) wakiwa hawana sare za jeshi. Akizungumza na mamia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…