Maumivu sehemu ya tumbo

Maumivu sehemu ya tumbo

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,652
Reaction score
5,635
Habari zenu waungwana,Yapata wiki ya pili sasa kuna hali hali fulani imenitokea,katika sehemu ya siri yaani uume kusinyaa sana hali ambayo nakosa hisia katika eneo hilo la Uume,Ilefikia hatua hata asubuhi wakati wa kuamka nikienda haja ndogo uume kusinyaa vilevile na kutokuhisi kitu chochote,Jana usiku nilienda hospitali moja na kupatiwa dawa ya kupata katika eneo hilo la Uume,Tiba nmeshaianza lakini bado nahisi maumivu makali sana katika eneo la kende mkono wa kushoto kuuma sana,Je mnanishauri nini hapo wajuzi na je hakuna dawa za kienyeji niweze kutumia njia zote mbili nikisubiria huo mwezi ufike
 
Nakushauri uende hospitali kubwa Zaidi ili tatizo lako lijulikane . Kutafuta dawa ya kutumia bila kujua tatizo lako ni hatari na pia unaweza kuchelewa kupata matibabu sahihi.
 
Back
Top Bottom