Nimesafiri zaidi ya km 6,000 kwa gari mwisho wa mwaka na mwanzo wa mwaka huu.Nimeshuhudia uwepo na umakini wa hali ya juu askari wa usalama barabarani.
Sikuweza kuona ajali yoyote,waendeshaji...
Hawayuni wakuu! Katika kufika au kupita kwangu maeneo mbali mbali yanayotoa baadhi ya huduma kuna taarifa zao wakitoa huwa zinakatosha tamaa sana kama sio kukasirisha.
Mfano kuna baadhi ya Benki...
Hizi si habari za udaki au magazetini, muhusika ambaye 2020 ulikuwa mwaka wake wa kustaafu namfahamu kwa jina, cheo na ofisi yake. Mama huyo kiherehere na mfuasi wa CCM ambaye alinusurika na...
Tunatoa huduma ya kuvukiza na kunyunyiza sumu(Fumigation & Pest control) kwa bei ya kawaida sana kwenye maeneo ya maghala,maoffice,hotel,Majikon n,k kupambana na Wadudu watambao na warukao...
Kwa wale wenzangu wapenda supu, michemsho, kitimoto kwenye baa hata kama iko maeneo ya kieleweka jaribuni sana kuwasha tochi za simu zenu kuangalia mlicholetewa .... Jamaa wanafanya uhuni wa...
*Kurugenzi ya mawasiliano ikulu msiwaweke kwenye wakati mgumu wahariri wa Vyombo vya Habari* .
Na: *Edwin Soko*
*Mwandishi*
*Mwanafunzi wa sheria*
Nianze kwa msemo wa *kilatini* usemao"...
Tunaangalia mpira kombe la mapinduzi Zanzibar saa hizi saa kumi na nusu lakini wakati mpira unaendelea baadhi wakadai kuwa huo mpira ni zamani kwa sababu hakuna alama ya live.Kwa wale...
Habari wana Jamiiforums, kwanza ya yote napenda kuwapongeza kwa kuufikia mwaka 2019, uwe wa amani na mafanikio makubwa kwetu sote.
Nirudi kwenye maada moja kwa moja, Mada yangu nikuhusu tangazo...
Wana JF habari za leo, nimeona nizungumze hili swala kwa wote wanaonzisha nyuzi humu JF. Unapoanzisha uzi unategemea member wengine wafurahi, wajifunze na zaidi wachangie kwenye uzi wako. Shida ni...
Hii ni barabara kubwa kutokea eneo la Kilimani hadi hospitali kubwa ya macho, Mvumi Dodoma lakini imejaa vumbi na mashimo . viongozi hamuoni? au mnasubiri mpaka mkulu apite.
Sent using Jamii...
Naanza kwa kunukuu Maneno ya Yesu Kristo toka MATHAYO 10: 7-8;
7 Na katika kuenda kwenu, hubirini, mkisema,
Ufalme wa mbinguni umekaribia.
8 Ponyeni wagonjwa, fufueni wafu,
takaseni wenye...
Watanzani ni wagumu sana wa kurejesha mkopo wa fedha ambao ulikopesha na ndugu , rafiki au taasisi za fedha.
Hela ukishaipata unaona uvivu na ugumu mkubwa w kurudisha pesa ya watu. Moyo unakuwa...
Moto wa Gesi Waua Mama na Watoto wake Wawili Mwanamke mmoja aliyetambuliwa jina la Pendo Adolph Manyama (29) na watoto wake wawili, wakazi wa Kola katika Manispaa ya Morogoro, wamefariki dunia...
Agizo la Rais Dr. John Pombe Magufuli, kuwa wafanya biashara wadogo (machinga) wapewe vitambulisho vya biashara linaendelea kutekelezwa, wilayani Simanjiro mkoani Manyara.
Kaimu mkuu wa Wilaya ya...
Habari za majukumu wadau.
Niwaulize, Ni ipi njia rahisi ya kutuma fedha kutoka South Africa kuja Tanzania? Imenilazimu kuuliza hivi kwa sababu kulingana na shughuli nizifanyazo inanilazimu...
Jamani mwenye taarifa kamili anijuze hv huu ukataji wa umeme karibia mara 3 mpaka mara 4 kumesababisha na nn? maeneo kama kimara umeme una katikakatika tu yaani mpaka hapa naongea umeme umekatika...
Wadau, poleni sana na majukumu ya hapa na pale
Ninaomba msaada wa Sheria, kuhusu hizi Kampuni cha usafi jijini Dar.
Nimepanga sehemu katika eneo la Karikoo, takriban mwaka,Takataka zote zilikuwa...
Wadau habarini za weekend, wenye kujua naomba wanipatie elimu, CRDB Bank kuna account inaitwa FAHARI ACCOUNT, katika kuipromote wanasema haina makato kwa mwezi.
Nilimfungulia mdogo wangu mwezi...
Habari wakuu.
nimekuwa nikiandika makala nyingi zinazohusu uzito wa mwili. Nasukumwa sana kufanya hivi sababu huu umekuwa ukisababisha matatizo mengi sana. unene huongeza hatari ya kusukari...