Guest /Lodge Mafinga

124 Ali

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
7,802
5,494
Wadau kama heading hapo juu nataka kufanya ziara binafsi maeneo ya mafinga ni wapi sehemu murua ya kupata accomodation .na vipi bora bed and breakfast, full board au just bed ?then nikale mitaani ?nitakaa kwa siku kama nne hv
Asanteni
 
Merlin hotel
 
Asanten sana ni rate gani per room per night double ?lowest to highest order please
 
Siku zote ukitaka sehemu nzuri ya kulala, ondoa neno Guest house, ongea kwa lugha ya Lodge au Hotel. Merlin is a good place for both, rooms, drinks etc. Ni pesa yako tu mkuu. Labda kama pesa yako ni ya level ya guest houses.
 
Mkuu mimi si wa zile za wanaoenda kukata mauno kwa muda mfupi .
Nataka nijisikie niko home nalala naamka nakula nakunywa nakunya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom