Nywele na kucha ni viungo vya mwili?

Nywele na kucha ni viungo vya mwili?

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,326
Reaction score
3,446
Habar za asubuh wadau,napenda tijuzane juu ya mambo mawili yafuatayo
1. Je kucha na na nywele ni viungo katika miili yetu? Na ka ma ni viungo kwa nini tunavikata kila baada ya muda fulani wakati viungo vingine hatuvikati?

2. Iwapo utaamua kukata nywele za upande fulani na upande mwingine ukaziacha mfano style ya kiduku au panki,basi zile nywele ambazo hukuwa umezikata haziwezi zikaendelea kukua mpaka zisubiri nywele nyingne ambazo zilikuwa zimekatwa zifike size yake ndo ziendeelee kukua kwa pamoja,halikadhalika ktk kucha pia,je ni sayansi gani ambayo ipo nyuma ya jambo hlo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Alikatwa sehemu ya kiungo cha mwili"

Mpaka hapo kucha nywele sio viungo vya mwili ni "urembo" wa mwili ndio maana mtu akivikosa kwa kuungua nywele au kucha kutoka kabisa huwa kidogo ana kasoro.
 
Tofauti ya nywele na kucha ukilinganisha sehemu nyingine za mwili ni aina ya protini inayoitwa keratin hii ni kama matofali kujenga muundo wa nywele na kucha, aina hii ya protini keratin hufanya kucha na nywele kuwa na sifa za kipekee.

Sent from my TECNO S1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu usikariri kwamba kila mwarabu ni muislamu,wapo waarabu ambao sio waislamu,kukata kucha na nywele sio lazima utumie wembe zipo mashine maalum kwa ajili ya kazi hzo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Umezunguka sanaaa lafu hoja haionekani.. kwani wembe hautumiki kukatia kucha na nywele?
 
Back
Top Bottom