Ni kwanini mpaka wakati huu Serikali imeshindwa kupata vazi la Taifa, imeshindwa na taasisi ndogo kama siloam?

Pendaelli

JF-Expert Member
Feb 13, 2014
8,919
23,242
Habari wakuu
Ni miaka mingi sana imepita tokea mchakato huu ulipoanza mpaka leo hii hauna majibu wala muendelezo. Kama tuna lugha yetu iweje tushindwe na kupata vazi la taifa?

Mfano taasisi ndogo sana ya siloam imekua na vazi lake rasmi iweje taasisi kubwa kama serikali ishindwe?
Na bahati mbaya mpango huo haupo katika ilani ya chama kilicho madarakani.
images.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo vazi halina manufaa kwa mwananchi wa kawaida anaewaza KESHO kunakucha Vipi.

Kwa maana,
Halitoweza kuibadili hali halisi ya Ugumu wa maisha yetu Inayotukabili.

KAMWE,
Hata ukilivaa haliweza kuibadili BUKU iliyoko mfukoni mwako, Iwe LAKI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom