Hivi Tanzania tuna highway?

Hivi Tanzania tuna highway?

Sijijui

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
7,877
Reaction score
8,812
Wanajamvi samahani sana mimi ni mgeni hapa ninaomba kueleweshwa tu kwamba,hivi hapa nchini kwetu kuna barabara zile wanaitwa high way?

Mimi naona matuta ya barabarani kila kona,naona vibao vya hamsini kila eneo, vivuko vya waenda kwa mguu ndo usiseme yaani hata pale serikali ilipojenga flyover ya waenda kwa miguu ndani ya mita 100 utakuta kuna zebra crossing and wakusanya mapato jirani wakisubiri madereva watukutu,huko mikoani kuna maeneo hata hakuna kibao cha hamsini ila utakuta zebra zimechorwa,wewe jifanye kutimka kisa hujaona kibao-utakuta picha ya gari yako mbelee-Sasa swali langu ni kuwa TZ tuna high way?

I understand US na nchi nyingine mwenda kwa miguu kutatiza au kutembea kwa miguu pembeni ya high way ni traffic offense, Najua malawi na umasikini wao-ile barabara wanaita M1 kuanzia Mpakani mwa Tanzania yani pale Songwe hadi Sanje kule mpakani mwa Msumbiji kusini kabisa huwezi kuona tuta kwenye barabara hii,si pale Mzuzu,si Lilongwe na wala Blantre na minimum speed ni 60-Sitaki kuongelea Kenya-maana najua wengi mna allergy nao.

Je, sisi pia tuna high way au watu wetu wote ni wazembe,si madereva wala watembea kwa miguu na Serikali yetu pendwa imeamua rasmi TZ iwe taifa la wazembe kwa kuweka alama za 50 kila eneo,matuta every where ili watu wake wazembe sana wasiishe kwa kukongwa na magari.
 
Highway hatuna ila michepuko tu mkuu; Highway speed limit iwezi kuwa 80kph, ni mambo ya ajabu ajabu tunayo
 
Kwani mkuu hivo vitu vinatua kutoka mbinguni si vinajengwa tena kimkakati sio kihorela Jiji kubwa kama Dar Ata ramani ya kuyaweka hayo ma HIGH WAY hakuna.

Sent from my SM-J530F using Tapatalk
 
Wanajamvi samahani sana mimi ni mgeni hapa ninaomba kueleweshwa tu kwamba,hivi hapa nchini kwetu kuna barabara zile wanaitwa high way?

Mimi naona matuta ya barabarani kila kona,naona vibao vya hamsini kila eneo, vivuko vya waenda kwa mguu ndo usiseme yaani hata pale serikali ilipojenga flyover ya waenda kwa miguu ndani ya mita 100 utakuta kuna zebra crossing and wakusanya mapato jirani wakisubiri madereva watukutu,huko mikoa kuna maendeo hakuna hata kibao cha hamsini ila utakuta zebra zimechorwa,wewe jifanye kutimka kisa hujaona kibao-utakuta picha ya gari yako mbelee-Sasa swali langu ni kuwa TZ tuna high way?

I understand US na nchi nyingine mwenda kwa miguu kutatiza au kutembea kwa miguu pembeni ya high way ni trafic offense, Najua malawi na umasikini wao-ile barabara wanaita M1 kuanzia Mpakani mwa Tanzania yani pale Songwe hadi Sanje kule mpakani Msumbiji huwezi kuona tuta kwenye barabara hii,si pale Mzuzu,si Lilongwe na si Blantre na minimum speed ni 60-Sitaki kuongelea Kenya-maana najua wengi mna allergy nao.

Je, sisi pia tuna high way au watu wetu wote ni wazembe,si madereva wa watembea kwa miguu na Serikali yetu pendwa imeamua rasmi TZ iwe taifa la wazembe kwa kuweka alama za 50 kila eneo,matuta every where ili watu wake wazembe sana wasiishe kwa kukongwa na magari.
Tunazo ndio ! Mfano Tanzam highway kuelekea Zambia. Ila ni za kitanzania kutokana na madereva wasio tii sheria wala kujali maisha ya watu ndio wanadhibitiwa kwa njia za alama na matuta! Hawafundishiki hata ufanyeje!
 
Je watu wanaokatiza barabarani je? tena siku hizi ndo mtu mtu anaandika msg kwenye simu huku akiwa anavuka barabara
 
umeeleza ugoro ukitengeneza highway hata iwe barabara sita kwenda na kurudi sita ukiweka matuta tu umeitoa katika hadhi ya highway haita itwa jina hilo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwanza kiliki gari TZ unakuwa umenunua ugomvi ns serikari, kipindi hiki sasa kuwapa commissions wakusanya mapato barabarani imekuwa balaa zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je watu wanaokatiza barabarani je? tena siku hizi ndo mtu mtu anaandika msg kwenye simu huku akiwa anavuka barabara
That is very unfortunate, elimu kwa raia juu ya usalama barabarani pia itiliwe mkazo.
 
umeeleza ugoro ukitengeneza highway hata iwe barabara sita kwenda na kurudi sita ukiweka matuta tu umeitoa katika hadhi ya highway haita itwa jina hilo

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndio maana nikasema "za kitanzania " ndugu yangu ! Sasa ugoro unaanzaje tena ? Ila umenikumbusha mbali sana marehemu bibi yangu alikua mtumiaji wa uraibu huo UGORO 😁
 
Hamna highway pale mkuu-yaani barabara ndani ya kilomita 1 ina matuta manne,huo uhighway inaupata wapi?
At least ndio barabara yenye muonekano wa highway ingawa kihalisia inaweza isiwe highway
 
Binafsi naelewa kwa nini serikali ikaamua hivyo(kuweka matuta "ovyo"), sio wapanda pikipiki, waendesha guta na magari wala sio watembea kwa miguu, ni balaa. Kila mtu ni mzembe, hatufuati sheria za barabarani.

Holiday season iliyopita tumeshuhudia ajali zimepungua, nadhani wakitoa takwimu tutaona idadi ya vifo pia ilipungua. Sisi tunastahili tu hizo 50km/hr---80km/hr, tupo wazembe mno.

Lakini pia njia zetu sio za level ya juu, nyingi zipo below standard. Kuna barabara ukipita na 140km/hr unahisi kabisa unavutwa nje ya barabara.
 
Back
Top Bottom