Nimekwepaje kodi wakati kabla ya vitu vyote hivyo kutumika nchini vimepigwa kodi bandarin,mipakani,viwandani?KAMA
- Umekula kwa mama ntilie leo kwa sababu bei yake iko chini- umekwepa kodi kupata unafuu
- kama umevaa nguo za mtumba umekwepa kodi umekwepa kodi kupata unafuu
- kama umenunua bidha yoyote kwa machinga umekwepa kodi kupata unafuu
"Detective J kwani kodi inatozewa wapi? basi TRA wangekuwa bandarin,mipakani,viwandani na siyo kuwa kila mahali na kugonga milango ya wafanyabiashara kila kona ya nchiNimekwepaje kodi wakati kabla ya vitu vyote hivyo kutumika nchini vimepigwa kodi bandarin,mipakani,viwandani?
Kuchagua bidhaa za bei ya chini si kukwepa kodi.
Sent using Jamii Forums mobile app
You should know that the system of assessing tax is not friend to anyoneKAMA
- Umekula kwa mama ntilie leo kwa sababu bei yake iko chini- umekwepa kodi kupata unafuu
- kama umevaa nguo za mtumba umekwepa kodi umekwepa kodi kupata unafuu
- kama umenunua bidha yoyote kwa machinga umekwepa kodi kupata unafuu
The Monk, hivi unataarifa kuwa Mzee Mengi kama director wa IPP anakatwa PAYE kama wewe uliyeajiriwa serikalini, na zaidi ya hiyo analipa 30% ya faida ya biashara zakeHauelewi ulichokiandika. Unaanzaje kusema watanzania wote wanakwepa kodi kwa kutaja vitu vichache tena visivyokua na uhusiano na hoja yako?
Wafanyakazi wanakatwa kodi kabla hawajapewa ujira wao, hao unawaweka kwenye kundi gani kwenye maelezo yako unaposema watanzania wote wanakwepa kodi?
Wanaweza kutokulipa kodi kwenye baadhi ya bidhaa lakini haihalalishi kusema watanzania wote wanakwepa kodi.
A tax man doesn't give you chance to to self assessment on your tax , he doesn't know how must your have paid for renting your office, or if it a house ,doesn't bother to know how much you have spent on renovation and so on and so forthviking, so who do you expect will choose to go to bet with unfriendly partner?
The Monk, hivi unataarifa kuwa Mzee Mengi kama director wa IPP anakatwa PAYE kama wewe uliyeajiriwa serikalini, na zaidi ya hiyo analipa 30% ya faida ya biashara zake
Hata tukilipa matumizi yake ndio kizungu mkuti. Zikiulizwa zimetumika vp? Hali inakuwa kama unavoiona.KAMA
- Umekula kwa mama ntilie leo kwa sababu bei yake iko chini- umekwepa kodi kupata unafuu
- kama umevaa nguo za mtumba umekwepa kodi umekwepa kodi kupata unafuu
- kama umenunua bidha yoyote kwa machinga umekwepa kodi kupata unafuu
Mbona kote wapo mkuu. Kwenye maduka napo wako mkuu . Sasa inategemeana sehem yenyewe ikoje. Kwa mama ntilie pale unapoenda kununua chakula. Pesa unayolipa imefidia na kodi humo humo."Detective J kwani kodi inatozewa wapi? basi TRA wangekuwa bandarin,mipakani,viwandani na siyo kuwa kila mahali na kugonga milango ya wafanyabiashara kila kona ya nchi
Kwani hiyo kodi hata usipoikwepa inakusaidia nini?KAMA
- Umekula kwa mama ntilie leo kwa sababu bei yake iko chini- umekwepa kodi kupata unafuu
- kama umevaa nguo za mtumba umekwepa kodi umekwepa kodi kupata unafuu
- kama umenunua bidha yoyote kwa machinga umekwepa kodi kupata unafuu
"The Monk, kwa akili yako unadhani unapiga simu muda mrefu kulio mzee Mengi?Sijaajiriwa serikalini MKUU lakini nakatwa kodi pesa ndefu tu, bado sijaongelea VAT kwenye manunuzi na miamala nnayofanya, hizo zote ni kodi.
Mie ukakasi upo kwenye heading yako. Umeandika "...watanzania wote tunakwepa kodi…" hapo ndio shida inaanza.
Vinginevyo ufafanue ni kodi ipi hiyo inayokwepwa na watanzania wote.
FPT, ukishaingaza neno hilo EXEMPTED-nchi inafia hapo-. hivi nyinyi mlio EXEMPTED barabara zenu ziko wapi? mnasoma shule zipi? mnao watukana wankwepa kodi wakati wanakatwa kodi tena kwa dhuluma ndio wanaowalipia elimu watoto wenu wakati wa kwao wanasoma FEDHAmazingira hayo sijakwepa kodi ila nimekuwa' exempted from paying tax' kwa kuwa wanaofanya shughuli hizo wanakuwa' exempted from paying tax'
Detective J, halafu mama ntilie anaenda kuilipa lini serikalini ili ajengewe zahanati, shule na barabaraMbona kote wapo mkuu. Kwenye maduka napo wako mkuu . Sasa inategemeana sehem yenyewe ikoje. Kwa mama ntilie pale unapoenda kununua chakula. Pesa unayolipa imefidia na kodi humo humo.
Sent using Jamii Forums mobile app
"The Monk, kwa akili yako unadhani unapiga simu muda mrefu kulio mzee Mengi?