Serikali ichunguze shule ya wasichana Loreto Mwanza

Ile ni shule ya wasichana, siku za graduation ndo vijana wa kiume wanatumia kuingia eneo la shule na kufanya mambo yasiyotakiwa kwa mgongo wa ndugu kuingia kwenye graduation!!!

Nadhan wamefanya hivyo ili kupunguza hiyo bugdha
Hicho siyo kigezo Mkuu. Unadhani mwanaume mchu mwenye nia hicho kwakwe ni kwazo..!?
 
Nilizani unazungumzia michezo michafu wanayofanya wale watoto (kusagana) kumbe tatizo elfu 10 si lazima familia nzima muende pale watu wawili au watatu wanatosha kaaabisa.
.
Ukifanikiwa kwenda kwenye hayo mahafali kachunguze kiintelijensia tabia za wale watoto wana michezo michafu sana kwenye dormitory zao.
 
Wasusie tu hao wazazi.
Wakitoka hapo wakamfanyie kijana wao sherehe nyumbani.
Cha kusikitisha Kuna wazazi na ndugu wamesafiri toka mbali na sasa wako hapa Mwanza kwa maandalizi ya kupata kumbukumbu na mtoto wao aliyekaa mazingira mbali na wao kwa miaka minne, afu agizo linakuja hivo eti bila elfu kumi kila mgeni hutoruhusiwa kuingia getini, haya maumivu wanayo sababisha kwa tamaa za pesa ni tabia ya kulaaniwa
 
Ile ni shule ya wasichana, siku za graduation ndo vijana wa kiume wanatumia kuingia eneo la shule na kufanya mambo yasiyotakiwa kwa mgongo wa ndugu kuingia kwenye graduation!!!

Nadhan wamefanya hivyo ili kupunguza hiyo bugdha
Kwa hiyo unadhani mtu atashindwa kulipia elfu kumi ili aingie ndani kufanya ufirauni? Tena hapo ndio atahakikisha elfu kumi yake inarudi akishaingia
 
Nilizani unazungumzia michezo michafu wanayofanya wale watoto (kusagana) kumbe tatizo elfu 10 si lazima familia nzima muende pale watu wawili au watatu wanatosha kaaabisa.
.
Ukifanikiwa kwenda kwenye hayo mahafali kachunguze kiintelijensia tabia za wale watoto wana michezo michafu sana kwenye dormitory zao.
Tujikite kwenye hoja ndugu, kwako elfu kumi yaweza kuwa ndogo, vp kwa wanafamilia ya watu watano mpaka kumi wanaotaka kupata kumbukumbu mazingira hayo hayo aliyoishi ndugu yao kwa miaka minne..!?

Ushauri tu unaeza anzisha uzi wa hoja yako kama utapenda isikike vyema
 
Kwa hiyo unadhani mtu atashindwa kulipia elfu kumi ili aingie ndani kufanya ufirauni? Tena hapo ndio atahakikisha elfu kumi yake inarudi akishaingia
Asante kwa kumjuza, tena hapo ndo mafirauni yatafurah maana yatataka yafanye kila hila ya uahetani ili kuridhia pesa yao kuchukuliwa
 
Ninyi ndyo wazazi wenye makelele mpaka mat*k*ni,kwani ni lazma uende?
Pia,shule inayo kamati vp ushajaribu kumuuliza mwenyekiti wa kamati ya shule au mwenyekiti wa bodi ya shule akuelimishe?
Ndugu zangu wasukuma ni wajuaji sana lkn kwenye vichwa vyao ni masufuri matupu!
 
Hik imeshakua tamaduni yao.... Eti shule iliyojengwa kwa sadaka za waumini... Poleni
 
Kama huna na una genuine reason huna,sidhani Kama wataweza kukuzuia
Hata kutoa tu zuio eti bila elfu kumi hutoruhusiwa kupita getini ni kosa kubwa sana ni kosa kwa wanafunz wao, ni kosa kwa wazazi na walezi. Maana wanawanyima haki yao ya msingi ya kujumuika na familia zao
 
Ninyi ndyo wazazi wenye makelele mpaka mat*k*ni,kwani ni lazma uende?
Pia,shule inayo kamati vp ushajaribu kumuuliza mwenyekiti wa kamati ya shule au mwenyekiti wa bodi ya shule akuelimishe?
Ndugu zangu wasukuma ni wajuaji sana lkn kwenye vichwa vyao ni masufuri matupu!
Unaweza Jenga hoja bila kukashfu mtu, taasisi au kabila Mkuu. Ukisoma utaona ya kuwa taarifa imetumwa jioni hii kwa wazaz na walezi, huyo mwenyekiti wa kamati anapatikana vp muda huu na kwa mazingira haya ili kila mzazi apate kumuuliza..!?
 
Hata kutoa tu zuio eti bila elfu kumi hutoruhusiwa kupita getini ni kosa kubwa sana ni kosa kwa wanafunz wao, ni kosa kwa wazazi na walezi. Maana wanawanyima haki yao ya msingi ya kujumuika na familia zao

Sidhani kama waliweka hio tozo kuwazuia wazazi kujumuika na watoto wao ,,,walijua wazazi wangependa kuchangia shule Yao.....watu bwana kwenye maharusi kunakuwaga na viwango na mnatoa kwenye kuchangia shule mnaruka kimanga!
 
Hik imeshakua tamaduni yao.... Eti shule iliyojengwa kwa sadaka za waumini... Poleni
Inaumiza sana kwakweli yani taasisi hii haingalii kuwapa furaha na kumbukumbu wanafunzi na wazazi wao, wenyewe pesa tu.
 
Huenda ni sehemu ya nidhamu , ipo chini ya masista wakatoliki . Ni hao wanaoendesha Loreto huko Kenya . Hata hivyo watapiga pesa ndefu !
 
Back
Top Bottom