LAPF lipeni pesa yangu

BRAVO 2 ZERO

JF-Expert Member
Jul 16, 2013
1,175
1,188
LAPF wanenipiga pesa yangu ya miezi miwili kila napowadai hawataki kunilipa fuatilia wee mpaka viatu imeisha kila siku jibu ni kesho, sasa yapata miezi nane hamna dalili ya kulipwa.

Watendaji wa LAPF mnashida gani kwani?
najua dua la kuku halimpati mwewe ila mkumbuke kuwa kila nabii na enzi zake nyie jamaa wa LAPF, leo mnahisi hayatawapata haya ila karma is a bitch jitahidini kutenda haki kwa kila mtu, acheni dhuluma kwenye jasho la mtu ipo siku yatawakuta.
20190110_142023.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
SSRA NDO WANASIMAMIA HII MIFUKO SO NDO WANATATUA MALALAMIKO YA WANACHAMA.
KAMA KIASI KILICHOPOTEA KIKUBWA WE NENDA NA VIELELEZO

AU WAANDIKIE UKIAMBATANISHA VIELELEZO NA NAMNA ULIVYOFATILIA USISAHAU KUWANAKILISHA LAPF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom