Kwanini Traffic wanaongoza magari mataa ya Tazara wakati hakuna msafara wa viongozi

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,786
4,490
Mataa ya Tazara yalikuwa yanasababisha foleni kubwa kwa barabara ta Mandela na barabara ya Nyerere zamani Pugu road.

Rais Kikwete aliamua kujengwa kwa barabara ya juu yaani fly over ambayo Rais Magufuli amejifungua kwa jina la Fly over ya Mfugale.

Na baada ya uzinduzi tu tumeona jinsi ambavyo sasa hakuna foleni kwenye hizo barabara lakini Cha ajabu Kuna baadhi ya matrafiki huamua tu kuongoza magari wenyewe badala ya taa bila sababu za msingi ambazo Mara nyingi huwa ni msafara wa viongozi kwenda airport au kutoka airport.

Kwa kufanya hivyo husababisha foleni Sana kwa barabara ya Mandela kiasi cha kuwakumbusha watumiaji kipindi kile Cha machungu ya kukaa saa hadi 3 Mandela road.

Hakuna sababu ya trafiki kuongoza magari mataa ya Tazara wakati hakuna msafara wa viongozi na Kama ni kutaka kukamata pikipiki na magari tafuteni sehemu nyingine nzuri mpate hiyo pesa yenu ya kiwi na siyo mataa ya Tazara.
 
ukiona hvy, ujue boss wao yupo eneo la tukio hvy lzm wapandwe na kiherehere
 
Pay allegiance to your CCM
 
Wakiacha hata Sikh moja tu kuongoza mataa hapa Tazara ndipo utajua kwanini wanaongoza.

Waache tu wawepo mpaka vichwa vya madereva vitakapojua umuhimu wa alama za road.

Dar kila mmoja ana haraka akichelewa atajikuta asubuhi yupo kwake.
 
Ok
 
Hiyo kazi wamesomea pale CCP hivyo usiingilie weledi wa watu,pia trafiki kukaa barabarani sio kwamba wanataka kukamata magari tu La hasha,wao hukaa ili kuhakikisha usalama wa raia.

5/5.
Hata Kama kwa Tazara fly over waache mataa yafanye kazi yake.....wanakera Sana na kuweka foleni isiyo na sababu
 
Back
Top Bottom