Msaada wa haraka unahitaji, Naomba tofauti ya hawa wanyama

mgonjwa

JF-Expert Member
Dec 2, 2013
514
223
WANAJAMVI PLEASE NAOMBA KUPATA MSAADA WA TOFAUTI YA HAWA WANYAMA WA PORINI NASHINDWA KABISA KUELEWA NA KUTOFAUTISHA
1.NYANI
2.TUMBILI
3.NGEDERE
4.KIMA
5.SOKWE
 
WANAJAMVI PLEASE NAOMBA KUPATA MSAADA WA TOFAUTI YA HAWA WANYAMA WA PORINI NASHINDWA KABISA KUELEWA NA KUTOFAUTISHA
1.NYANI
2.TUMBILI
3.NGEDERE
4.KIMA
5.SOKWE
Mkuu kesho unafanya interview na hawa viumbe? Neno msaada wa haraka limenishtua kweli kweli
 
Nenda porini fana utalii wa ndani...wanyama hao wote tunao hapa hapa Tanzania yanini kuwaulizia mitandaoni...?
 
Tumbili na Ngedere ndo wanachanganya sana jinsi ya kuwatambua ila ngoja watu wa TANAPA waje
WANAJAMVI PLEASE NAOMBA KUPATA MSAADA WA TOFAUTI YA HAWA WANYAMA WA PORINI NASHINDWA KABISA KUELEWA NA KUTOFAUTISHA
1.NYANI
2.TUMBILI
3.NGEDERE
4.KIMA
5.SOKWE
 
1545646633519.png

baboon
 
Back
Top Bottom