Kwa nini kadi za bank zina expire date na za simu(sim card) hazina?

man dunga

JF-Expert Member
Oct 13, 2013
3,216
5,566
Unakuta kadi ya bank kimuonekano iko vizuri lakini unatumiwa ujumbe 'kadi yako mwisho wa matumizi ni tarehe fulani uje uombe nyingine'.

Sasa wanafanya hivyo kwa usalama wa akaunti au hayo materials waliotengenezea kadi yana expire?
Kama ni materials ombeni utalaamu kutoka mitandao ya simu mbona line huwa hazi expire?
 
Ngoja waje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ya kwangu ya NMB Ime expire pia,nkawa nafanya miamala kupitia NMB mobile..cha kushangaza natumiwa ujumbe huu wa kutaka kufungiwa.. ikumbukwe mara kwa mara naitumia.

"Ndugu Mteja, akaunti yako inayoishia 5301 itasitishwa isipotumika ndani ya siku 60. Kuepuka hilo, fanya muamala wowote kupitia NMB Mobile au NMB Wakala."
 
Kuna kadi ya tigo niliitumia muda mrefu sana Zaidi ya miaka kumi baadaye ikagoma kufanya kazi kupeleka tigo nikaambiwa muda wake wa matumizi umeisha nikapewa nyingine.
 
Back
Top Bottom