Penda kuishi kihalali

Penda kuishi kihalali

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,065
Reaction score
61,397
Me navutiwa na Wanajeshi kwa jinsi wanavyoishi maisha tofauti na sisi raia.wanaheshimu Sana sheria na taratibu.we jiulize watu hata wakiwa elfu Bado wanaongozwa na mtu m1 na wanafanya kazi Yao fresh tu.si wenyewe raia tunatakiwa tujifunze wanavyo behave wanajeshi.
Yote hii Ni kwa sababu asilimia kubwa ya walioko JELA wamejikuta wamekamatwa wamevunja sheria.hawakuzaliwa kuwa wakosaji.sio wakati wote utakamatwa ukikosea ila jua ipo siku moja tu.maana kila siku dola liko macho kutafuta watu wapya wa kwenda ndani,kila siku Askari wapo kazini na hawaangalii sura ya mtu.hautaamini utakapojikuta ndani ya ukuta mrefu na mlango mkubwa huoni kingine zaidi ya mawingu.sasa ili kuepuka yote hayo jtahidi kukwepa mitego na majaribu ya kuvunja sheria.fuata sheria zetu ambazo umezikuta wamekuwekea.hata kama Ni visheria vidogo vidogo vifuate kabla hujaingia kwenye 18 ambazo utajisababishia gharama bure zisizo na msingi,maumivu kwa familia yako.nisikuchoshe sana we penda kuishi legally muda wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwasababu bado unaishi kwa baba ndio maana unasema hivyo!Anyway siku ukiacha kula ugali wa shikamoo ndio utajua wanaokwenda jela sio wote wana hatia pia utajua kuna police kazi yao ni kuhakikisha anakubambikia kesi kwa gharama yoyote ile

Sent by Diaspora
 
hahahaha askari wako macho, hayo macho yako wazi kutuona raia tu wao, viongozi wanaongoza kwa kuvunja sheria mbona hawako jera

wangapi wanaishi nje ya sheria kwa vile wana ulinzi hawaishii ngome.

ntaishi vyovyote, halali na haramu. maana ngome kwa watu wa daraja la 3 lolote lawEza tokea
 
Huyu mleta mada bado bado hajakomazwa na Dunia ndio maana anaongea kama vile Dunia iko fair.
Walioko Magerezani si wote ni wahalifu,Maisha ya kijeshi unayoyahusudu ni Command na Order tu.
Kwa mfano mkuu wa kikosi anapewa Order ya kucharge kwenda kwa adui alipo na huku anajua kabisa adui kajizatiti inakubidi ukubali...mkianza kulazwa anawaambia retreat mnarudi nyuma..sasa maisha ya kijeshi ni mazuri pale mnapokula na kulala.
 
Huwa wananiudhi sana hao jamaa, sifa za kijinga sana hasa kwenye kupiga raia. Busara hawana kabisa, japo policcm ni balaa Mara 1000 zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom