2019 bomoabomoa ghafla Stop ordes Toka kwa Mkuu

Milanzi2018

JF-Expert Member
Dec 28, 2017
388
381
2019 bomoabomoa imekuwa ghafla bin fuuuuu hakuna tena bomoabomoa.
Watanzania wenzangu hapo vipi? KUMBUKA TUNAKWENDA KATIKA UCHAGUZI MKUU
NINI MAONI YAKO
 
2019 bomoabomoa imekuwa ghafla bin fuuuuu hakuna tena bomoabomoa.
Watanzania wenzangu hapo vipi? KUMBUKA TUNAKWENDA KATIKA UCHAGUZI MKUU
NINI MAONI YAKO
TANGAZO LIKO WAPI KUWA AMEKATAZA BOMOA BOMOA. Kwa hiyo waliokosewa haki zao nchi nzima watampa kura kwa vile amekataza bomoa bomoa, watakuwa wepesi wa kusahau hivyo
 
untitled.png
 
Back
Top Bottom