Utani wa Rais Magufuli na waziri Kigwangalla

Utani wa Rais Magufuli na waziri Kigwangalla

Joined
Apr 18, 2012
Posts
95
Reaction score
213
50623427_2795382047142862_4540674622588190720_n.jpg


Rais Magufuli: Hongera, naona unataka kwenda Zanzibar...umepata?

Kigwanga: (akicheka): Ahsante Mhe., si unaona ni ‘keupe’?

Rais Magufuli: (akicheka): Tena wewe si unaruhusiwa wanne?
Kigwangala: Kabisa Mhe., bado nina nafasi tatu!

Naona Shangazi kadata na Mheshimiwa 🙄🙄🙄
 
Utani mwingine inabidi kukomaa na kicheko mdomoni ilihali moyo unasema tofauti...
 
Back
Top Bottom