Arusha TARURA mnatesa watu wananchi wajipanga kuandamana

ams

Member
Mar 16, 2013
78
115
Tarura Arusha mmeshindwa msimamia mkandarasi alie pewa tenda ya njia ya baraaa(gulelo to mboma ya siara ) wananchi wana teseka na vumbi la barabara hiyopaka ila leta madhara kwa afya ya watu sana sana watoto . kinacho takiwa ni mkandarasi kupitisha GARI la Maji .
Wana nchi wajipanga kuandamana
 
Tarura Arusha mmeshindwa msimamia mkandarasi alie pewa tenda ya njia ya baraaa(gulelo to mboma ya siara ) wana nchi wana teseka na fumbi la barabara hiyopaka ila leta madhara kwa afya ya watu sana sana watoto . kinacho takiwa ni mkandarasi kupitisha GARI la Maji .
Wana nchi wajipanga kuandamana
Kweli Mkuu. Mkandarasi anasuasua ile mbaya. Hata uchimbaji wa mitaro ya maji wameshindwa malizia hadi Ngulelo.
Kingine kwanini wasingekuwa wamejenga au kuweka makalivati kwanza kwenye barabara za michepuo kabla yakuchimba mihandaki yao?? Watu hivi sasa yapata mwezi na..... hawafiki na magari yao nyumbani. Sijui wanafikiriaje??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama hajalipwa atoe pesa yake mfukoni ili aendelee na kazi?

Au kama anangoja laboratory results utajuaje?

Acheni mihemko mwachen afanye kazi yake kwa utulivu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli Mkuu. Mkandarasi anasuasua ile mbaya. Hata uchimbaji wa mitaro ya maji wameshindwa malizia hadi Ngulelo.
Kingine kwanini wasingekuwa wamejenga au kuweka makalivati kwanza kwenye barabara za michepuo kabla yakuchimba mihandaki yao?? Watu hivi sasa yapata mwezi na..... hawafiki na magari yao nyumbani. Sijui wanafikiriaje??

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamalizi hadi juu eti bajet ndogo kapewa ya km1 tu sasa kama walikua hawana fungu sijui kwanini walitoa hii tenda kuliko kubakisha hatua chache
 
Ila wanajitahidi kujenga barabara za ndani
Kwangu soon lami inapita mbele ila ntawaomba waniweke tuta maana wengine sisi watu wa chicha tukirudi makwetu Mara nyingi tuko bwax .........

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajitaidi ila kwa hapa wana chemka tuna ongelea afya ya watu sana sana watoto kula MTU ana umwa sasa ngulelo to bama ya siara sizani kama raisi aliunda hii taasisi ili wakae maofisini tu
 
Tarura Arusha mmeshindwa msimamia mkandarasi alie pewa tenda ya njia ya baraaa(gulelo to mboma ya siara ) wananchi wana teseka na vumbi la barabara hiyopaka ila leta madhara kwa afya ya watu sana sana watoto . kinacho takiwa ni mkandarasi kupitisha GARI la Maji .
Wana nchi wajipanga kuandamana
Hakuna mswahili popote aliewahi kuathirika na vumbi bro. Hilo vumbi la moram utalinganisha na vumbi la kawaida la huko siara? Acha basi bro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom