Mgodi wa dhahabu katikati ya masikio

Tanzanite klm

JF-Expert Member
May 7, 2013
453
376
*MGODI WA DHAHABU KATIKATI YA MASIKIO*
ni siku nyingine njema na kubwa mno, ni siku utafanya mambo makubwa sana na kuja na mawazo yenye thamani ya dollar milion moja.ungana nami tena

Chochote unachofanya ndio ujuzi na utaalamu wako, hakunaga kitu kama fani bora zaidi ya nyingine, ndio maana tuna wachora katuni na waimba miziki na wachongaji walio fanikiwa sana duniani, chochote unachofanya ukikiongezea thamani basi ujue iyo inakuwa profession yako na itakutoa.
Ukitumia muda wa kutosha kuwaza namna ya kuiboresha kwa kutumia mgodi wa dhahabu ulio kati kati ya masikio yako.
Nilisema tena watu wengi huanza kazi wakiwa na miaka 20 na wanakuwa na miaka 40 ya kufanya kaZi yani mpaka wakifika miaka 60; baada ya hapo wanastaafu.
Maisha baada ya kustaafu;
-Kumi(10) kati ya mia watakuwa na maisha ya wastani mazuri kiuchumi wakifika miaka 65.
-Wanne (4) kati ya mia watakua na raha na uchumi mkubwa katika miaka 65.
Why?? Kwanini?
-Jiulize ni kitu gani unahitaji kuongeza thamani ya muda wako na unahitaji uwe na utajiri wa kiasi gani ukiwa na miaka 65?( Hapa ndio tuliona juzi ujue unataka pesa kiasi gani uandike kwenye cheki)
-Watu wanaotengeneza fedha nyingi kuliko sisi hawapo tofauti nasi bali wamechimba dhahabu katika mgodi ulio katikati ya masikio.
-Ni watu wanaojua hasa nini wanataka katika maisha na wakaamua kuwaza tofauti( THINK DIFFERENT)
Ni muhimu kujua hili pesa unayopata katika biashara au kazi yako inategemea na umuhimu wako na ugumu wa kumpata mwingine kama wewe.
-Sababu pekee inayomfanya binadamu awe tofauti na mbuzi ni mgodi wa dhahabu ulio katikati ya masikio, your mind.
*Uchimbajj madini*
1.Ukiamka asubuhi jiulize ni nini bora unachokijua na unataka kuboresha nini?
2.Andika chini idea mpya zinazotoka katika mgodi wako( mind)
3. Tumia lisaa limoja kila siku kijitenga na watu na media utumia kutafakari na kutengeneza idea mpya.
4.Amka lisaa limoja kabla ya ulivyozea.
5.Tumia idea mpya na maarifa mapya uliyojifunza kila siku kubiresha biashara na kazi yako.
Ni muhimu jua hili sasa; its never too late. You can start now.
Ni moja ya ukurasa katika kitabu changu ENLIGHTENMENT ambacho zaidi ya copy 1000 zimetoka. @10000tshs.
henryest600@icloud.com
Softcopy inapatakana.

You can make yourself great again now.
 
Back
Top Bottom