Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,711
- 1,738
Wakuu, naomba msaada wa kusitisha jumbe ninazoletewa na Vodacom kupitia 15544. Tokea nikatushwe tamaa na mbinu za kupata pesa za makampuni haya ya cm ya kujibu maswali kupitia Airtel SITAKI kabisa kusikia mchezo huo mchafu.
Sasa natafuta namna ya kusitisha hiyo namba maana kila niwekapo vocha Basi ndo jumbe lukuki napata wakati sifanyi chochote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa natafuta namna ya kusitisha hiyo namba maana kila niwekapo vocha Basi ndo jumbe lukuki napata wakati sifanyi chochote.
Sent using Jamii Forums mobile app