Rais hili ni agizo la nchi nzima?

Rais hili ni agizo la nchi nzima?

okiwira

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2018
Posts
3,459
Reaction score
3,842
Mbeya Kiwira watu wanakamatwa kisa hajatoa pesa ya mchango wa kujenga Zahanati haijalishi una chanzo cha mapato ama la. Wanakamatwa kama hujatoa mchango mchango wa kujenga madarasa ya msingi na secondary na msingi.

Wakati huo ni lazima kwenda kujitolea maeneo hayo (hili sio baya) kila kichwa tsh5000 kwa kichwa ina maana mke na mume 10000.

Ni hili sio kwa mwaka ni kila itapohitajika achana na kodi ya nyumba kwa kila mwaka Tsh 3000 au kodi ya tsh20000 kwa wajasiriamali wadogo hii ya jana.

Ok ni vizuri tujitolee ila watumwa wako unajua jinsi wanavyotumia vyeo katika kukusanya hizo pesa?

Watendaji wa kata wamekuwa Mungu mtu sasa kisingizio amri toka juu.

Tutengeneze mashine ya kukakluleti kipato cha kila mtanzania hatuko sawa walijua hilo mzazi ameshindwa kumnunulia mwanae sweta la shule yupo gereza dogo la kijiji.

Anatamani pesa yakununulia ndege ingesuruhisha swala hili nimekuona leo unaongea kwa upole na utulivu bila shaka ni wakati wa watanzania sasa kufurahi.


Jinsi nilivyoandika ni kama sijui nataka kukupa taarifa gani. Mwandiko ulivyo ndivyo ambavyo wengi tulikuwa tunakuona.

JUICE YA MCHANGANYIKO WA MATUNDA.


Kipindi cha kampeni 2020 usisite kuja Rungwe wanakupenda sema umewatenga Sana.
 
Yaani awamu hii ikiisha, ijayo tukampa tena! Wacha tufwe tu muraghafwaa! Ngoja tuimalizie sharubati ya shubiri iliyochagizwa kwa mbaaali na Ndimu
 
Yaani awamu hii ikiisha, ijayo tukampa tena!





Wembe ni ule ule [emoji14] [emoji14] [emoji14]

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
 
Yaani awamu hii ikiisha, ijayo tukampa tena!





Wembe ni ule ule [emoji14] [emoji14] [emoji14]

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom