Ni aibu bandari ya Dar kuwa na barabara nyembamba kama ya Tandale kwa mfuga mbwa

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
35,845
40,432
Vitu vingine ni ridiculous, yaani ile barabara ya kutokea pale round about na kukunja kona kuelekea bandarini na hatimaye daraja la Kigamboni ni nyembamba kama uchochoro wa vingunguti kwa mkodisha mawigi, ni vichekesho kwa kweli.
Basi ikitokea lorry linataka kuingia kwenye moja wapo ya yale mageti na pakawa na foleni ya kuingia humo ndani, inawabidi hata nyie wwnye magari madogo/daladala kusabiri hata nusu saa nzima ili muweze kupita, maana kuna lane mbili tu na moja malori huwa yanatumia kama parking, na lane nyingine moja ndio mnabanana malori na magari na madaladala, fujo tupu, mnaotumia kale ka uchochoro ili kuelekea Kigamboni bridge mnaelewa, hii ni aibu na fedheha!
 
All these development in the country these wailers
seem to be very blind to these laudable projects. They should visit synagogue church of all nations for
deliverance ok....
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom