A Allency JF-Expert Member Joined Jan 27, 2011 Posts 16,475 Reaction score 16,650 Friday at 8:33 PM #1 Mbona iPhone 11 ina fonts ndogo sana kwenye jukwaa lenu, kichwa cha habari font iko sawa ila replies ziko ndogo sana . Je ni settings kwa simu yangu au ni kawaida ? Asanteni
Mbona iPhone 11 ina fonts ndogo sana kwenye jukwaa lenu, kichwa cha habari font iko sawa ila replies ziko ndogo sana . Je ni settings kwa simu yangu au ni kawaida ? Asanteni