Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu, nimefanikiwa kutembea baadhi ya mikoa vijijini kama Dodoma, Kagera, Kigoma, na Mara. Hali ya watanzania wenzetu vijijini hairidhishi, nawaza hata tungeanzisha visanduku vya misaada ya nguo...
25 Reactions
87 Replies
1K Views
Ripoti ya Tume ilifichua kwamba wanaharakati waliunda mfumo wa kutoa hofu kwa Watanzania wa kawaida waliotaka kupinga ghasia. Kuzuia wananchi wa kawaida wasimame kupinga uchochezi ni kuharibu...
1 Reactions
7 Replies
176 Views
Nimejaribu kutafuta facts baada ya kuona kuna barua za mtandaoni zikionesha Wanaharakati wanavyopokea fedha kuharibu amani nchini. nilichokutana nacho ni hiki hapa chini....Inatisha sana...
1 Reactions
54 Replies
898 Views
  • Redirect
✓Asema mageuzi ndani ya Jeshi la Polisi yataongeza ufanisi kwa wananchi. ✓IGP Wambura aahidi kuendelea kusimamia nidhamu na uwajibikaji. ✓Wananchi watakiwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi...
1 Reactions
– Replies
– Views
Jinsi ya kumshinda shetani Shetani ni nani? Tafsiri ya jina shetani ni ‘mshitaki’ au ‘mchongezi’. Kazi yake ni kuwashitaki watakatifu mbele za Mungu. Jina lingine la shetani ni Lusifa, maana yake...
2 Reactions
0 Replies
284 Views
Kwenye kizazi hiki tuna ishi na watu Siyo waaminifu kabisa , Watu wengi wamepoteza marafiki na ndugu wa karibu kwa ajili ya kukopa na kukopeshana Una mkopesha MTU pesa hakulipi alafu wengine...
1 Reactions
0 Replies
107 Views
Jenga picha wewe sasa hivi ni boss fulani upo nje ya Dar, Arusha, Mwanza, Mbeya au nje ya Tanzania kwa majukumu ya kikazi na familia, alafu unakuja likizo na kuamua kutembelea pahala ulipokulia...
39 Reactions
198 Replies
10K Views
Kupanda kwa bei ya mafuta kunakoendelea kumesababisha ongezeko la gharama za maisha, ikiwemo bei za bidhaa mbalimbali na huduma muhimu za kijamii. Miongoni mwa athari zinazozidi kujitokeza ni...
0 Reactions
4 Replies
176 Views
Rushwa Rushwa Rushwa!! Maafisa Rasilimali Watu, Makatibu wa Afya na viongozi waandamizi Ofisi ya Katibu Mkuu na Porthealth wanachukua Rushwa (Million 5 hadi 7) kuhamisha watu vituo, ilihali...
0 Reactions
2 Replies
210 Views
Niliandika thread hapa kushangaa kwa nini mtu kama Terence Crawford kuonesha mapenzi yake ya dhati kwa Tanzania kuitangaza kimataifa na kupost kila hatua anayopita kuonesha ni kwa namna gani...
0 Reactions
4 Replies
134 Views
Ku-survive kama kijana Dar bila ya kumezwa na ufuska uliopo karibu yako kama pua na mdomo inatakiwa iwe sehemu ya SKILL maalum katika resume'. Adventure kwa mzungu ni kutembea kuona vitu na...
15 Reactions
144 Replies
2K Views
Ni kweli tunataka maendeleo ila kiukweli naona kabisa Yard ile kua pale jeshini sio sehemu sahihi. Kwa mtazamo wangu ilibidi isogezwe huko nje ya miji kuliko pale. Mfano usiku huu malori...
14 Reactions
90 Replies
2K Views
Kichwa kinajieleza. Kama unapokea pesa yeyote kutoka Absa, Equity and the likes ya hizi bank zisizoshindana kutoa gawio serikalini, usipitishe hela yako NBC, They don't even know what they are...
3 Reactions
9 Replies
181 Views
Kuna Mwanaharakati maarufu Mtanzania anayeishi Marekani anaongeaga sana kwa fujo na kufokafoka Rugemarila ama kaka Ruge kwenye mtandao wa kijamii wa club house na tiktok anadai Mafwele katishia...
10 Reactions
36 Replies
840 Views
Hawa vijana wanaupiga mwingi ila kusitokee siasa kati na watunzwe wapewe nafasi kwa lazima kwenye vilabu vyao wapate nafas kushindana
2 Reactions
3 Replies
91 Views
Piga hesabu ya Akiba ya pesa uliyonayo kwa sasa alafu jikague ki C.AG, Hivi Utaweza kununua Hata sabuni ?
1 Reactions
1 Replies
88 Views
Katika Mji ambao nimepiga hesabu zangu na kuplan lazima nitinge, wa kwanza kabisa ni DUBAI. Yaani hapo ndiyo penyewe, Hakuna mjadala, hiyo ndiyo sehemu ambayo nataka nikanyage nione maajabu ya...
1 Reactions
2 Replies
126 Views
Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya afya baada ya Dkt. Livin Peter Mumburi kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kufanikiwa kuwa daktari bingwa wa magonjwa wa mfumo wa chakula na...
8 Reactions
11 Replies
270 Views
Shalom ndugu zangu. Nilipotelewa na mdogo wangu Lilian malisa miaka 12 ilopita. Mwezi ulopita niliomba msaada kwa wana FB kwa yoyote ambayo alimjua au kumwona. Nashukuru MUNGU kwa mawazo yenu...
6 Reactions
15 Replies
595 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…