Salaam wakuu , kwanza wenzetu majirani poleni ila napenda kujua kwa undani huyu mtu wa kuitwa Inayat Kassam ambaye alitrend sana kwenye kuokoa watu kipindi cha shambulio la Westgate 2013 na tukio...
Tukirejea matukio tu kuonyesha kwamba hawa watu wana ajenda zao ambazo hatujajua mpaka sasa.
Haya ni baadhi ya matukio yanayoonyesha kwamba hivi vikundi vya kigaidi na misismamo mikali vinauwa...
Habari wana JF
Hizi pombe zilizokuwa zinawekwa kwenye viroba zilikua maarufu kama kubet, zilikua na wapenzi wengi na katazo lake liliwahuzunisha watu wengi. Naomba kupata uzoefu, Maisha yamekuaje...
Watilii 61 kutoka nchi mbalimbali wamewasili Jijini Dar es Salaam leo kutoka Afrika ya kusini kwa kutumia treni ya kifahari ya Rovos, kwa nia ya kuja kuangalia vivutio vya kitalii vinavyopatikana...
Natumai wana jf mu wazima wa afya hata kwa wale wenye shida kiafya M/Mungu awapeni wepesi,
Ndugu wana jf nimeleta uzi huu ili kuweza kuwafungua macho ndugu wengi humu walio na mitazamo hafifu juu...
Wakuu,
Mnaokuja mjini njia ya morroco to surrender kuna foleni ya hatari. Tafuteni njia mbadala. Saa nzima nipo kati ya morroco na surrender.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wanasema nikiwemo mimi eti vyuma vimekaza lakini kuna nchini vyuma vimekaza zaidi mfano Latvia,Hispania,india etc..
Mfano wa gharama katika mawasiliano nchini india.
Sent using Jamii...
Siasa pembeni, vyama tupa kule.... Hivi vitapita lakini Tanzania ya Watanzania itakuwepo... Kwahiyo ustawi wa nchi kama taifa huru na wananchi wake ni muhimu kuliko kingine chochote kile... Ndio...
Habari wadau. Mimi nilijiunga na kampuni ya kubet ya 1xbet. Nikawa nimedeposit kisasi cha pesa, nikazalisha kidogo. Sasa nikawa nataka kutoa lakini imeshimdikana. Njia nilizojaribu ni Mastercard...
Hajawahi Kuniangusha na huwa hakosei kwa yote ambayo huwa ananiambia.
Kaniambia kwa mwaka 2019 ( mwaka ujao ) tunaosubiria kwa hamu zote haya matukio makubwa yatatokea:
1. Yanga SC itakuwa...
TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imeibuka kinara kwenye hospitali za moyo barani Afrika kwa kufanya idadi kubwa ya upasuaji wa moyo . Mwaka jana imewafanyia upasuaji wagonjwa 1,356. Hayo...
Elon Musk(Generslist scientist).Mtu pekee aliepuuza dhana ya ubobezi au umaalumu(Specislizaton ) Huyu jamaa amejifunza kila kitu on Earth! Hakuna asichokijua.
Kinachonifurahisha zaidi ni mzaliwa...
Kanisa la Advestista Wasabato mjini Shinyanga, limewataka waumini mjini humo, kukagua fedha zao wanazozitoa kwa ajili ya sadaka ili kuhakikisha, kujiridhisha kwamba hawamtolei Mungu fedha bandia...
Majuzi mto Mkondoa umepita juu ya daraja pale Dumila.
Hii si mara ya kwanza, kama sikosei ni karibia ya nne hivi.
Na mara zote tuta la barabara linachukuliwa.
Kina cha mto kwa sasa hivi ni mita...
Nilibahatika kufika Nssf Ubungo plaza. Kiukweli Hali no mbaya Sana kwa wateja halafu kwanini sekta hi mfanyakazi anapokuja kudai mafao yake anaonekan Kama ni ombaomba fulani.
Nadhani Kuna haha ya...
Na Mwandishi wetu, Mihambwe
Michezo ya Pool table, sehemu wanazouza vilevi, michezo ya Bonanza na mabanda ya video yamepigwa marufuku kufunguliwa saa za Kazi na Watoto chini ya miaka 18 kukatazwa...
Watu wenye utajiri wa kupindukia ndio wanaolipa ushuru wa chini zaidi duniani, ripoti iliyotolewa na shirika la Oxfam imesema.
“Idadi ya mabilionea imeongezeka licha ya mfumuko wa bei huku mapato...
Salaam.
Wakuu nimenunua umeme wa kutoka cellcom. Sasa zile namba za luku hazionekani vizuri na aliyeniuzia anadai zike kumbukumbu namba huwa zinapotea pindi anapotoa recept nyingine. Sasa wakuu...
1. Frank
2. George
3. Kelvin
4. Alex
5. Samuel
6. Dominic
7. Richard
badala ya kila Siku tu kuyasikia haya Majina ya akina:
1. Athumani
2. Mohammed
3. Kassim
4. Suleiman
5. Abdallah
6. Issa
7...
Stress ni pale unapokomaa kumridhisha demu wako uliemtoa bikra kwa nguvu zote, ujuzi na ufundi wa ziada, kisha anakutizama tu wala huskii akitoa miguno ya raha, vilio vya kuashiria kuwa dushe...