Wanaosema Tanzania maisha magumu.

Wanaosema Tanzania maisha magumu.

Joselela

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
6,886
Reaction score
9,778
Kuna watu wanasema nikiwemo mimi eti vyuma vimekaza lakini kuna nchini vyuma vimekaza zaidi mfano Latvia,Hispania,india etc..

Mfano wa gharama katika mawasiliano nchini india.
IMG-20190117-WA0003.jpeg
IMG-20190117-WA0002.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app

Gharama za kupiga simu 1 min call costs 0.25 usd takribani Tsh 500.

Ingawa kibongo bongo kutegemeana na fursa ni kweli vyuma vimekaza but sio kama india ambako kila siku watu zaidi ya 150,000-500,000 wanatafuta fursa katika nchi mbalimbali ili waweze toka ili kukabiliana na hali ngumu.
 
Kuna watu wanasema nikiwemo mimi eti vyuma vimekaza lakini kuna nchini vyuma vimekaza zaidi mfano Latvia,Hispania,india etc..

Mfano wa gharama katika mawasiliano nchini india.
View attachment 1000694View attachment 1000695

Tulizoea vya mtelemko ngoja tukae sawa

Mkuu umefanya ulinganishi mzuri, lkn hii hai justify kuwa life liko poa. Kama haliko poa haliko poa tu.
Mazingira ya huko ni tofauti na huku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu anayetafuta mlo wa siku anahusilaje na bei za vifurushi vya mobile data??
 
Natambua sana....ila sio priority mpaka kuhiusisha na hali ngumu ya maisha!
Simu ya dk1 ni dollar 0.25 sawa na jero la tz unaona ndogo wakati unapata dak10+ zinazodumu 24hrs.

Data ni muhimu michongo mingi ni kwa simu social media.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wanasema nikiwemo mimi eti vyuma vimekaza lakini kuna nchini vyuma vimekaza zaidi mfano Latvia,Hispania,india etc..

Mfano wa gharama katika mawasiliano nchini india.
View attachment 1000694View attachment 1000695

Sent using Jamii Forums mobile app

Gharama za kupiga simu 1 min call costs 0.25 usd takribani Tsh 500.

Ingawa kibongo bongo kutegemeana na fursa ni kweli vyuma vimekaza but sio kama india ambako kila siku watu zaidi ya 150,000-500,000 wanatafuta fursa katika nchi mbalimbali ili waweze toka ili kukabiliana na hali ngumu.
Vipi vyuma vya UK bundle GB20 £25 KWA MWEZI? Ama 1GB £10?
 
Siyo niliyoiweka hapo. Unlimited ipo kwa Three tu na ni £35. Waliobaki bundle zao zina vary mkuu. Giffgaff ndiyo 25 unlimited ya mashaka ukimaliza Gb20 speed inapungua. Mtu huwezi stream TV channel huwezi angalia mpira.
Okay,still vyuma vimekaza..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sana watu homeless kibao. Juzi nilipita Trafalgar squire na Leicester Square nimeshangaa watu wengi wakilala nje hata bongo siyo kama hapa. Conservatives wamekaza vyuma zaidi ya JIWE
Kikikikikii mkuu lakini weupe wao unawafanya waonekane wako safi kweli kweli.[emoji1][emoji1]

Huwezi kumuaminisha mbongo kama whites nao huwa ni homeless hasa maeneo kama ya UK.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikikikikii mkuu lakini weupe wao unawafanya waonekane wako safi kweli kweli.[emoji1][emoji1]

Huwezi kumuaminisha mbongo kama whites nao huwa ni homeless hasa maeneo kama ya UK.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wapo wabishi naweza kuweka live Facebook hata saa hizi nikitoka nje. Kina matonya wapo kibao wa spare change.

Sasa wanavyolia wabongo wanadhani wao peke yao. Hawa hapa wengi ni kama wabongo wavivu kufanya kazi walizoea dezo ya Labour Party kwenye benefit mpaka waka miss use. David Cameron akaja na austerity kama baba wa taifa alivyotuambia miezi 18 ya shida tufunge mkanda mpaka leo haijaisha tangu mwska 1979. Mianya ilipofungwa balaa zaidi ya la JIWE.
 
Kuna watu wanasema nikiwemo mimi eti vyuma vimekaza lakini kuna nchini vyuma vimekaza zaidi mfano Latvia,Hispania,india etc..

Mfano wa gharama katika mawasiliano nchini india.
View attachment 1000694View attachment 1000695

Sent using Jamii Forums mobile app

Gharama za kupiga simu 1 min call costs 0.25 usd takribani Tsh 500.

Ingawa kibongo bongo kutegemeana na fursa ni kweli vyuma vimekaza but sio kama india ambako kila siku watu zaidi ya 150,000-500,000 wanatafuta fursa katika nchi mbalimbali ili waweze toka ili kukabiliana na hali ngumu.
Hizi bei ziko sawa kweli? India wana pesa yao Indian Rupee (Rs).
Kuna nilizo Google, bei hazina tofauti kubwa na zako ila haziko katika dollar bali rupees.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu watoke waende nchi gani kukabiliana na huu ugumu wa maisha? Wakienda ulaya wanitwa vibaraka wa Mabeberu, nchi gani wataenda. Jiulize hata wakimbizi wa Syria hawakimbilii huku Afrika, wote wakihojiwa wanataka kwenda Ulaya au Marekani. Lakini huku kwetu ukienda unaweza kuambiwa wewe sio mzalendo kabisa. Uzalendo ni kukaa tufe sote pamoja.
 
Back
Top Bottom