Vikundi vya kigaidi vinaua mpaka waislamu,sembuse wasiokuwa wao?

Kijana kijana

JF-Expert Member
Mar 11, 2018
2,546
2,616
Tukirejea matukio tu kuonyesha kwamba hawa watu wana ajenda zao ambazo hatujajua mpaka sasa.

Haya ni baadhi ya matukio yanayoonyesha kwamba hivi vikundi vya kigaidi na misismamo mikali vinauwa mpaka waislamu,sasa kama lengo ndo uislamu uende mbele mbona wanawauwa hata hao waislamu wenyewe?

Vikundi vya kigaidi ni tishio mpaka kwa sisi waislamu wenyewe kwa sababu hawachagui hawabagui.

Kuna tukio lilitokea mwanza jamaa wanasali wakajs wakapigwa mapanga msikitini na watu ambao walikuwa wakiwaambia "MASHEKHE WAPO NDANI NYIE MNASALI SALI NINI UNAFIKI MTUPU"
ikiwa ndo lengo lao kwamba uislamu na waislamu wapate nguvu mbona basi wanawauwa mpaka hao waislamu? Wana ajenda gani hawa wapumbavu wa akili?

Tukio la zanzibar la shekhe mmoja kutoka tanga alipopigwa bomu msikitini na mzazibar ambaye ni muislamu kwa kuahidiwa pesa laki tatu,muislamu anamtegea bomu muislamu kwa malengo gani?

Haina maana tunawashawishi wakauwe wasiokuwa waislamu lakini tunajaribu kuonyesha kwamba hata sisi waislamu wa kawaida ni wahanga wa hawa watu.

Itikadi zao ni kuwa kinyume na wao ni kaaafiri hata uwe na sijda kubwa kama kifuu cha nazi.

Kwa hivyo kwa wale mnaodhania kwamba eti hawa watu waislamu wanawapenda na kuwakubali ila hawataki kudhihirisha sio kweli aisee.na sisi ni wahanga sana.
 
Hawa watu hawa wanazalikana kutokana na watu ama mashekhe wana harakati kama vile akina ponda,marehemu ilunga,akina uamsho na mashekhe wengineo wafujo fujo.
Unajuwa maana ya kuharibu dhana? Unawekewa mambo yanayokutoa kwenye mstari mpaka unawaza vinginevyo.... Kuna kutoana chambo na hasa kama uwepo wako huna maana..
 
Mfano tu kama wewe unavyoamini kuwa kwa vile makundi hayo yanawauwa na waislamu BASI SI YA KIISLAMU...
Ee naam sio ya kiislamu kwa sababu mafundisho yanawakataa.

Japokiwa hao wanaweza kuwa waislamu lakini wanachokifanya sio uisilamu ni utovu wa adabu na upumbavu wa akili tu.

Makundi ya kiislamu hayauwi waislamu

Makundi ya waislamu hayauwi watu wasiokuwa na hatia hata kama sio waislamu.
 
Cha msingi umeelewa point yangu... kwamba ya kiislamu au siyo hayo yanatokana na yanayotendeka wakati yanafanywa hayo yasiyotakiwa
 
Aliye kwamba makundi hayo yanauwakilisha uislam ninani? hayo ni wale wanao tafuta madaraka kwanguvu kama mtume aliishi na wasio kuwa waislam wao wana pata mamlaka wapi ya kuwauwa wasio waislam.Hata hivyo mwenyezi mungu alishaapa kuilinda dini yake kwahiyo licha baadhi watu na vikundi kujaribu kuichafua kwa masilai yao lakini bado haichafuki na inazidi kupendwa duniani kote na watu wana zidi kuipokea kwa wingi.hii dini isingekuwa inalindwa na mungu na kuhakikishia hakuna ambaye angetamani kuingia katika uislam .Lamsingi hakikisha watoto wako wana pata mafunzo ya uislam ambayo yako sahihi hili wasije kutumia na warafi wa madaraka.
 
Sawa uislamu haufundishi hayo, lakini ni kwa sababu gani hao wanaowafadhili wanaotumia vijana wa kiislamu na si vijana wa kikatoliki, kilutheri au walokole? Hapa Nina conclusion lakini sitaiweka kwa maslahi ya amani na kuepuka kuchafua hali ya hewa hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom