Wako wapi wanywa viroba? tunaomba uzoefu, huu ni mwaka wa 3 bila viroba

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
12,695
31,478
Habari wana JF
Hizi pombe zilizokuwa zinawekwa kwenye viroba zilikua maarufu kama kubet, zilikua na wapenzi wengi na katazo lake liliwahuzunisha watu wengi. Naomba kupata uzoefu, Maisha yamekuaje baada ya katazo la lake takribani miaka 3 sasa. Embu tupeni uzoefu.
 
Braza sio lazima uamini ninachokwambia ila huu ndio ukweli. Ni bora vilivyokuwepo Virox, sasa hivi kuna hizi za Kupima nduguu! Kama upo Dar tembelea Makumbusho stendi zinapotokea gari, geti la kulia ambalo huwa halifunguliwi sana au Mwenge stend ya Tegeta.
 
Mipakani Bado Vipo,power number one available kabisa mikoa ya songwe na mbeya zinatoka Malawi,vijana wanajidunga tu,pamoja na gongo
 
Braza sio lazima uamini ninachokwambia ila huu ndio ukweli. Ni bora vilivyokuwepo Virox, sasa hivi kuna hizi za Kupima nduguu! Kama upo Dar tembelea Makumbusho stendi zinapotokea gari, geti la kulia ambalo huwa halifunguliwi sana au Mwenge stend ya Tegeta.
Hata tegeta nyuki nimekuta madereva wengi sana wanakunywa za kupima na wengine wanawekewa ktk chupa za energy drink kuzugia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana JF
Hizi pombe zilizokuwa zinawekwa kwenye viroba zilikua maarufu kama kubet, zilikua na wapenzi wengi na katazo lake liliwahuzunisha watu wengi. Naomba kupata uzoefu, Maisha yamekuaje baada ya katazo la lake takribani miaka 3 sasa. Embu tupeni uzoefu.
Hivyo vilikuwa ni vita vya kimaslah mdogo Wang.
Badala ya kuhifadhi kwenye viroba vyepesi vya plastic , sasa wametengeneza vifungashio vigumu kwa material yaleyale ya plastic ambavyo haviozi kwa urahisi. Pombe ni zilezile, vipimo ni vilevile, ingawa ujazo wakuanzia wamebadili kidogo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana JF
Hizi pombe zilizokuwa zinawekwa kwenye viroba zilikua maarufu kama kubet, zilikua na wapenzi wengi na katazo lake liliwahuzunisha watu wengi. Naomba kupata uzoefu, Maisha yamekuaje baada ya katazo la lake takribani miaka 3 sasa. Embu tupeni uzoefu.
yaaniii villikuwa poa sasa viroba ila sasa sijui ni nini nimeacha na pombe kabisa tokea vimekatazwaa maana nillikuwa navikubali balaa
 
Habari wana JF
Hizi pombe zilizokuwa zinawekwa kwenye viroba zilikua maarufu kama kubet, zilikua na wapenzi wengi na katazo lake liliwahuzunisha watu wengi. Naomba kupata uzoefu, Maisha yamekuaje baada ya katazo la lake takribani miaka 3 sasa. Embu tupeni uzoefu.
We uko wapi mkuu huku kwetu mizinga ya nyagi aka bapa inauzwa kwa kupimwa Siku hizi mia tano tu
Unapimiwa kwenye kiskeli kama cha kuuzia kahawa vile
Raia wananyagika ileile mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom