Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hivi wadau nilitaka kujua kuwa unawezaje kujua kuwa hii redio ina wasikilizaji wengi kuliko redio zingine au TV flani ina watazamaji wengi kuliko TV stations zingine. TCRA au NBS kama sikosei...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Yani kila mwaka lazima hii mikoa iburuze mkia, kwenye shule 10 za mwisho mkoa wa Tanga huwezi kosa kuanzia shule 3 kwenda juu, vivyo hivyo unguja na pemba, unakuta wamelundikana kule chini kwenye...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Anavyoongea...dah! Anaboa mno. Halafu kama anahangaika au anajilazimisha kutokuchanganya lugha. Kama vile anahangaika kutafuta maneno ya Kiswahili ya kutumia. Anaongea kwa kuhangaika mno...
11 Reactions
101 Replies
11K Views
WALIOPATA ZIRO WANA VITU VINGINE HATUKUVIPIMA. Na Thadei Ole Mushi. Picha ya kwanza hapo ni ya Charles Msonde katibu wa baraza la mitihani Tanzania. Huyu Jana katoka kutupa matokeo ya mtihani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
MWANAMKE mkazi wa Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kumkata na kisu shingoni mwanawe wa miezi sita, kutokana na ugomvi baina yake na mumewe kutokana na wivu wa...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakati wengine mpaka leo hii wakiwa hawajui Ndege zao zianze kubeba Mbaazi au Ng'ombe au Mbuzi au Mabata Mzinga au Kuku au Tani mbalimbali za Korosho na Mahindi kwenda Mikoa mbalimbali ya nchi yao...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Mwalimu Nocka Mwaisango (28) wa Shule ya Sekondari Kibwe, jijini Dodoma, amefariki dunia baada ya kunyweshwa sumu na watu wasiofahamika. Alikufa wakati akitokea mkoani Dodoma kwenda kijijini kwao...
6 Reactions
51 Replies
10K Views
Watanzania wawili wamekamatwa nchini Kenya kwa kuingiza bangi zenye thamani ya Ksh 500,000. Annah Mwisawa(34) na Jackson Josephat(20) walikamatwa wakifanya magendo hayo siku ya jumanne huko...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa. Hivi karibuni kumekuwa na mvutano wa mamlaka ya Mawasiliano TCRA na Warusha matangazo kwa njia ya Terrestrial na Satellite kwa Maana ya Wamiliki wa Ving'amuzi Vya Tanzania...
5 Reactions
71 Replies
18K Views
Mlinzi wa zahanati ya kijiji cha Katani kata ya Nkandasi wilayani Nkasi mkoani Rukwa Laudifasi Sokoni (60) amejinyonga katika chumba cha kuchomea sindano wagonjwa cha zahanati hiyo kwa kutumia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimetaja mfano wa Mbowe na Matiko kwa sababu kesi yao inafuatiliwa na watu wengi kama ilivyo kesi ya Kitilya na wenzake. Mara zote wsnapofika mahakamani Kitilya na wenzake huwa wamebeba ndoo za...
1 Reactions
46 Replies
8K Views
... Ni moja ya mji ambao sikutegemea kukuta hii biashara ya kuuza karanga za vijiko na visoda na mihogo kama ilivyo miji ya ukanda wa pwani.. Watu wa miji ya pwani walisifika sana kwa ulaji wa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wadau habari, Moja kwa moja kwenye maada, serikali mara kwa mara imekua ikiongelea kuhusu ujenzi wa bomba la mafuta kutoka nchini Uganda, lakin mpaka sasa hivi haijulikani kama washaanza kazi ya...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Hii hijja hufanyika kila baada ya Miaka 12 katika Mji wa ALLAHABAD huko India. Kuna aina Mbili za Hijja hiyo,moja ni kila baada ya miaka 12 na nyigine ni Kila baada ya Miaka 6 ambayo huitwa Ardha...
6 Reactions
295 Replies
30K Views
Ofisa mwandamizi wa Takukuru,Victor Lesuya,ameiambia mahakama ya hakimu mkazi Kisutu,kuwe,Tido Mhando alikiri kusaini mikataba mitatu na kituo cha habari cha chanel 2 (BVI) bila kushirikisha mtu...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Dar es Salaam. Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Tido Mhando amesema Serikali imelipa Sh887.1 milioni kwa watu wasiojulikana tofauti na inavyodaiwa na upande wa...
9 Reactions
83 Replies
12K Views
MKURUGENZI Mkuu wa zamani wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Tido Mhando, amedai mchakato wa kulitoa shirika hilo kutoka mfumo wa analogia kwenda mfumo wa dijitali ulitokana na maelekezo ya...
2 Reactions
47 Replies
12K Views
Wadau Naendelea kushangaa kwa huu uwekezaji wa jengo la PSPF PLAZA hapa Dodoma kwani pamoja na jengo kuonekana la kisasa na kuvutia lakini hakuna umeme wa uhakika Ni ajabu kwa kweli kwa zama...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Je, kuna haja ya kuendelea kutoa matokeo ya mitihani ya kidato cha nne na cha sita kishule ikiwa bado elimu haijawa na uwiano unaofanana? Ubora wa elimu haulingani? Kila siku wenye miguu watakua...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Anatembeza chumvi ya packet. Anauza 3 kwa shilingi 1000. Nimeshanaa sana. Chumvi ndio bidhaa ya hali ya chini kabisa kwenye matumizi ya vyakula majumbani. Chumvi ya 300 unaweza kutumia wiki...
12 Reactions
253 Replies
29K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…