Arusha: mji kasoro pweza, biashara ya karanga ilivyo shamiri

Avatar

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
11,127
11,908
... Ni moja ya mji ambao sikutegemea kukuta hii biashara ya kuuza karanga za vijiko na visoda na mihogo kama ilivyo miji ya ukanda wa pwani..

Watu wa miji ya pwani walisifika sana kwa ulaji wa karanga, mihogo na pweza kila kona ya mji ni lazima kukuta meza ya pweza na kachori.

Mambo yanabadilika kwa kasi miji mingi kama mwanza, kahama, dodoma na mingineyo.

Nitabiria miji ya kaskazini(arusha).. Biashara ya pweza na kachori itaingia.

Kufikia hapo hatutakuwa zile notion za wa dar wala mikoani kwa vigezo vya hivi vyakula.

Hii ni chuga chaliii.....
 
Dar es salaam ni kioo cha mikoa mingine yote hapa tz kinachoanzishwa dar usambaa upesi kwenye mikoa mingine.. Dar sio ya mchezo mchezo..
 
... Ni moja ya mji ambao sikutegemea kukuta hii biashara ya kuuza karanga za vijiko na visoda na mihogo kama ilivyo miji ya ukanda wa pwani..

Watu wa miji ya pwani walisifika sana kwa ulaji wa karanga, mihogo na pweza kila kona ya mji ni lazima kukuta meza ya pweza na kachori.

Mambo yanabadilika kwa kasi miji mingi kama mwanza, kahama, dodoma na mingineyo.

Nitabiria miji ya kaskazini(arusha).. Biashara ya pweza na kachori itaingia.

Kufikia hapo hatutakuwa zile notion za wa dar wala mikoani kwa vigezo vya hivi vyakula.

Hii ni chuga chaliii.....
Acha kujitetea karanga na mikoa yote ila mamihogo ni dar mwanaume wa dar unataka kubadilisha mambo
 
... Ni moja ya mji ambao sikutegemea kukuta hii biashara ya kuuza karanga za vijiko na visoda na mihogo kama ilivyo miji ya ukanda wa pwani..

Watu wa miji ya pwani walisifika sana kwa ulaji wa karanga, mihogo na pweza kila kona ya mji ni lazima kukuta meza ya pweza na kachori.

Mambo yanabadilika kwa kasi miji mingi kama mwanza, kahama, dodoma na mingineyo.

Nitabiria miji ya kaskazini(arusha).. Biashara ya pweza na kachori itaingia.

Kufikia hapo hatutakuwa zile notion za wa dar wala mikoani kwa vigezo vya hivi vyakula.

Hii ni chuga chaliii.....
supu ya pweza arusha ipo sema haiuzwi kwenye maeneo machafu kama Dar
nenda mwambao restaurant arusha mjini kati unaipata kwenye ,mazingira safi kabisa
 
Hahaha "maeneo machafu"

Ipo pande zipi hii restaurant?

Back
Top Bottom