Je, nini maana ya kupanga orodha ya shule bora baada ya mitihani ikiwa hakuna uwiano kitaaluma?

MalumeNdago

Member
Jan 8, 2018
19
45
Je, kuna haja ya kuendelea kutoa matokeo ya mitihani ya kidato cha nne na cha sita kishule ikiwa bado elimu haijawa na uwiano unaofanana?

Ubora wa elimu haulingani? Kila siku wenye miguu watakua wa kwanza kwenye mbio na wasiojiweza na tutaendelea kuwapongeza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Thad

JF-Expert Member
Mar 14, 2017
13,002
2,000
Ukitaka kujifunza, jifunze kwa walifanikiwa na sio kwa walioshindwa. Haja ya kurank hivyo ipo.
 

Ze last Born

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
1,735
2,000
Hima wazazi! Tukaze kamba kutafuta Pesa!
Zama za kusomesha mtoto kwenye shule yenye miundombinu mibovu na upungufu mkubwa wa waalimu zimepitwa na wakati ebo!
Tusisubiri miujiza ya watoto wetu kufaulu kwenye shule za hovyohovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom