Serikali ya Tanzania kupitia Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania (TaESA) imetangaza nafasi za kazi 10,000 kwa wananchi wote waliopo nchini kwenye mradi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutokea...
Ukitaka kujua watu wanapenda tu mafanikio ndio kipindi kama hiki, kila MTU anaulizia matokeo lakini kipindi cha ada hakuna aliye kuwa anauliza jamani tuwe wastarabu kama hujawahi kuulizia ada...
Habari wapendwa!
Nimekaa nikatafakari kwa kutumia akili ya kawaida tu ( common sense), nikafikiri ambavyo ingekuwa vyema kama tungeishi maisha halisi humu,
Tungekuwa na uwezo wa kusaidiana kwa...
Heri ya sikukuu ya PASAKA!
wakati hali ya sintofahamu ikiendelea juu ya nyaraka mbili zilizotolewa na viongozi wakuu Wa makanisa ya katoliki na KKKT kutofautiana na maoni ya askofu Pengo...
Huu mkoa unatakiwa ujitafakari kielimu
Ukilinganisha na Kilimanjaro, Dar kuna shule za Sekondari 306 na Kilimanjaro 316. Kwa idadi ya watu Dar ilitakiwa kuwa na shule zaidi ya mara mbili ya...
Niwasalimie wana JF wote.
Ninaelewa nssf huchukua michango yake kutoka gross salary. Paye inalipwa baada ya nssf. Napenda kujua kuhusu michango ya nhif wao wanasema inalipwa kutoka gross salary...
Niliishi na wazazi wangu katika nyakati mbalimbali, lakini nyakati nyingine, sikuishi nao kwa sababu za kikazi na wakati mwingine umbali.
Habari zenu nisalimie kwanza wakuu, habari za Januari...
Baba yangu alikua Mtumishi wa Ualimu idara ya elimu msingi kwa miaka mingi mpaka alipostaafu rasmi utumishi serikalini 2016 baada ya kuitumikia serikali kwa miaka 37
Baada ya kustaafu ilimchukua...
Wakuu salama?
leo nimeona kutoa dukuduku langu kuhusiana na dagaa hawa wa mwanza, rock city. ni dagaa wazuri kwa ladha lakini kero kubwa ni mchanga . imekuwa ni kero hasa ukikuta maandalizi ya...
'Understanding' is just a simple word in the whole wide world and Dictionaries,it refers to knowing the meaning/intention and what is real at the right time.
Every aspect of life requires...
Hivi wadau nilitaka kujua kuwa unawezaje kujua kuwa hii redio ina wasikilizaji wengi kuliko redio zingine au TV flani ina watazamaji wengi kuliko TV stations zingine.
TCRA au NBS kama sikosei...
Yani kila mwaka lazima hii mikoa iburuze mkia, kwenye shule 10 za mwisho mkoa wa Tanga huwezi kosa kuanzia shule 3 kwenda juu, vivyo hivyo unguja na pemba, unakuta wamelundikana kule chini kwenye...
Anavyoongea...dah! Anaboa mno.
Halafu kama anahangaika au anajilazimisha kutokuchanganya lugha.
Kama vile anahangaika kutafuta maneno ya Kiswahili ya kutumia.
Anaongea kwa kuhangaika mno...
WALIOPATA ZIRO WANA VITU VINGINE HATUKUVIPIMA.
Na Thadei Ole Mushi.
Picha ya kwanza hapo ni ya Charles Msonde katibu wa baraza la mitihani Tanzania.
Huyu Jana katoka kutupa matokeo ya mtihani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.