Mwanangu kapata DV 0, Je anaweza kuja kuwa mkuu wa mkoa siku za usoni?

wala mwambie asikate tamaa,,mtafutie kadi ya ccm na,
uhakikishe anajiunga na uvccm hapo shida sahau tena,,,
nb:ni vizuri kumpa moyo kwa kumoonyesha mFANO WA MKOLOMJIE..alivyopasua
 
Matokeo ya mwanangu kapata Dv 4 ya 35 mean zero, je na yeye anaweza kujakuwa kiongozi huko baadae kama bosi au mkuu wa mkoa au ndio mwisho wake hapa?

Sent using Jamii Forums mobile app

bado ana nafasi ya kuwa kiongozi...kumbuka Mh.Msukuma ameishia LA saba;na Mh.Kishimba yy LA NNE tu.

na kubwa zaidi rais wa jiji...NDUGU Bashite yy hata jina sio lake na bado anafikiriwa kupewa wizara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole kama haya matokeo yamekuhuzunisha na pia hongera kwani ado unaonekana mwenye moyo wa kutia juhudi zaidi na sio kukata tamaa.

Kuhusu mwanao kuwa mkuu wa mkoa, Naweza sema machache kutokana na maono yangu

Uongozi ni karama anayotujalia M/Mungu lakini karama hii hufa kama hakuna juhudi binafsi na hapo ndipo utakubaliana na mimi kuwa "Ana Bahati" kama wasemavyo watu kwa mtu aliefanikiwa inatokana na fursa na juhudi binafsi.

Simaanishi viongozi ndio wanaotakiwa kuwa na Zero lakini ndio anaweza kuwa chochote anachotaka kama atakazania na kuweka juhudi ya hali ya juu hakika atafanikiwa
Matokeo ya mwanangu kapata Dv 4 ya 35 mean zero, je na yeye anaweza kujakuwa kiongozi huko baadae kama bosi au mkuu wa mkoa au ndio mwisho wake hapa?

Sent using Jamii Forums mobile app

Muda ni sasa, Tumia ulichonacho, Fanya unachoweza.
 
Back
Top Bottom